Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA



Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii


NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).

Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wabunge wa Chadema wajiweka karantini kuepuka kusambaa kwa virusi.

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimewataka wafuasi wake bungeni kuacha kujhudhuria vikao vya bunge na kukaa mbali na majengo ya bunge ya Dodoma na Dar es salaam ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona.

 

5 years ago

CCM Blog

MAWAZIRI SEKTA YA AFYA NCHINI ZA SADC WAKUTANA KWA DHARURA TANZANI KUJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA

  Na. Paschal Dotto-MAELEZOJumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), imesema imejiandaa kikamilifu kukabiliana na ugonjwa wa homa ya Virusi vya Corona (Covid-19) ambao umezidi kusambaa duniani na kwamba mikakati madhubuti imeweka tayari kwa kutoa elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo kwa wananchi wa ukanda huo wa Afrika.
Akizungumza katika Mkutano wa dharura uliofanyika Jijini Dar es Salaam, ambao uliitishwa kujadili hali ya mlipuko wa ugonjwa huo uliohudhuriwa na...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC)  kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipunga mkono kuwaaga washiriki wa Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) baada ya kufungua mkutano huo kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jitihada za Zanzibar kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona

Waziri wa afya visiwani Zanzibar Hamad Rashid ameiambia BBC kwamba virusi hivi utaathiri uchumi visiwani humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waziri wa Sierra Leone aendesha kikao kwa njia ya video akiwa na mwanae mgongoni

Waziri wa elimu wa Sierra Leone David Sengeh achanganya kazi za ofisi na malezi ya mtoto nyumbani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Daktari mkuu wa aonya kuhusu uwezekano wa kusambaa zaidi kwa Covid-19 Marekani

The US's top infectious diseases doctor warns senators of the risks of reopening too soon.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ugonjwa wa corona sasa ni tatizo kuu Marekani

Daktari mkuu wa magonjwa ya kuambukizwa nchini Marekani Dkt Anthony Fauci anasema Marekani ina tatizo kubwa sasa la maambukizi ya virusi vya corona, baadhi ya majimbo yamesitisha mpango wa kufungua

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani