Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Jitihada za Zanzibar kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona

Waziri wa afya visiwani Zanzibar Hamad Rashid ameiambia BBC kwamba virusi hivi utaathiri uchumi visiwani humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wabunge wa Chadema wajiweka karantini kuepuka kusambaa kwa virusi.

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimewataka wafuasi wake bungeni kuacha kujhudhuria vikao vya bunge na kukaa mbali na majengo ya bunge ya Dodoma na Dar es salaam ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA



Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii


NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).

Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Daktari mkuu wa aonya kuhusu uwezekano wa kusambaa zaidi kwa Covid-19 Marekani

The US's top infectious diseases doctor warns senators of the risks of reopening too soon.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanyama wa mwituni wanavyokatiza mitaa ambayo watu wake wanajifungia ndani kuzuia kusambaa kwa Covid-19

Picha za Wanyama hao zimepigwa katika nchi tofauti duniani ambazo raia wake wanatekeleza maelekezo ya kuzuia kasi ya janga la corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi utalii unavyoathiriwa na hofu ya virusi vya corona Zanzibar

Kisiwa cha Zanzibar hakina kisa chochote cha virusi vya ugonjwa wa corona licha ya kwamba uchumi wake umeathirika pakubwa kutokana na watalii kuwa na hofu kuhusu janga hilo.

 

5 years ago

Michuzi

UWASWATA kutoa msaada wa Sabuni kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.

Umoja wa wazalishaji sabuni wadogo Tanzania (UWASWATA) unatarajia  kuungana na serikali katika mapambano  Virusi vya Corona kwa kutoa mchango wao wa Sabuni kwa ajili ya Hospitali Jijini Dar es Salaam.

Sabuni hizo zitatolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambaye atatoa sabuni hizo kutokana na uhitaji wa hospitali.

Akizungumza na Michuzi  TV Katibu wa Umoja huo Maria Lucas amesema kuwa hawawezi kuiachia serikali peke yake katika mapambano ya Virusi vya Corona.

Amesema Wana sabuni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Habari katika Picha: Jitihada za kujikinga na virusi vya corona

Baadhi ya picha zilizopigwa wiki hii katika maeneo mbalimbali barani Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI WA PAKISTAN AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

Na WAMJW – Dar es Salaam
 Serikali imepongezwa kwa jitihada inazozifanya katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) hapa nchini.

Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na mwakilishi wa Ubalozi wa Pakistani hapa nchini Muhammad Saleem wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Saleem alisema tangu ugonjwa huo ulipoingia hapa nchini mwezi uliopita kasi ya maambukizi ni ndogo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani