Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tigo yafikisha upatikanaji wa huduma ya 4G LTE Dodoma

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE jijini Dodoma, kushoto ni Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi.

Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini kutoka Tigo Bw.George Lugata akimkabidhi Bw.Danson Kaijage kushoto laini mpya ya 4G LTE katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE, katikati ni Territory Meneja wa Dodoma, Singida na Kondoa Bw.Innocent Anthony kutoka Tigo jijini Dodoma.

-Ni baada ya kuanza kutoa huduma...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE

Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo wa 4G LTE baada ya kupata maelekezo ya awali kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo. Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo…

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano mikoa ya kusini

SAMSUNG CSC

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (mwenye miwani) na Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Iringa, John Kiteve (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi mnara wa kisasa wa mawasiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini.

SAMSUNG CSC

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (katikati) akisoma hotuba yake mara baada ya kampuni hiyo ya mawasiliano kuzindua mnara wake wa masiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini mwishoni mwa wiki.

SAMSUNG CSC

Mrajisi wa Vyama vya...

 

10 years ago

Michuzi

Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa akihutubia hivi sasa kwenye uzinduzi wa 4G LTE ya internet inayozinduliwa leo na Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua mtandao wenye kasi zaidi wa 4G LTE jijini Tanga.

2kZxVbUbMAXNvi9ShJcQh799zxPA5nPVZnWdsnn_LlI,kCddjQy91QbZidWHsDIOoNLjD2VmVVQMcgJSuW0UFwwMkuu wa kitengo cha biashara (B2B) katika kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Rene Bascope, akihutubia hadhira iliyohudhuria uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi (4G LTE) uliozinduliwa jana jijini Tanga.

z9Uy83c8tTzlfFNhBmesVTXqkXTmtLiciIi5A7t3eQ8,y5qSqowWf8pt-_v_CDtCfGOTFDlyp0z_4GMLfrxAd9kKamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga, Nassor Sisiwaya (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (wa kwanza kulia) wakati wa uzinduzi huo.

C5IWFoWZuafemZP_-Y2o_9VQm-8UKOY0oiMYsxqiXbc,jLL1w5SjVm_HNg0L702zDn9OlWDIU5fHDET71oDgw9A,aDA1jn2APCsB_QxjQtUmLue63tVVXj2qNsABrdDTma8Mkuu wa wilaya ya Tanga, Abdullah Lutavi...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO, UHURU ONE YAANZISHA MFUMO MPYA WA MTANDAO WA 4G LTE

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kwenye mkutano juu ya kampuni ya Tigo kuanza kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.Mkurugenzi Mkuu wa mradi huo Uhuru One, Rajab Katunda (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mradi huo. (katikati) ni Meneja Mradi huo wa Tigo, Kobbina Awuch.
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa mradi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya tigo,Uhuru One yaanzisha mfumo moya wa mtandao wa 4G LTE

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza
katika mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kwenye
mkutano juu ya kampuni ya Tigo kuanza kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa
mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.             Mkurugenzi Mkuu wa mradi huo Uhuru One, Rajab Katunda (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mradi huo. (katikati) ni Meneja Mradi huo wa Tigo, Kobbina Awuch.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho

hqdefault

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.

Maeneo hayo ni pamoja na  Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu,  Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta.  Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...

 

9 years ago

Mwananchi

Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano

Kampuni ya Smile Communications Tanzania, imetangaza kupanua huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma na Morogoro, ili kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao

1

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.

Tigo Tanzania leo imekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani