Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL

Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty hati ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, hafla hiyo iliyofanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty hati ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, hafla hiyo iliyofanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaini hati ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya Bia Tanzania (TBL) jana jijini Dar es Salam, kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya TBL, Kevin O'Flaherty akiiwakilisha kampuni yake katika hafla hiyo iliyofanyika ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaini hati ya makabidhiano ya mradi wa kuyaunga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

TBL yakabidhi mradi wa maji

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya Sh. milioni 69 kwa wakazi wa kata za Yombo Vituka na Mwembe Ladu, Manispaa ya Temeke.

Akizungumza baada ya kuzindua na kukabidhi kisima hicho kwa uongozi wa Serikali ya Mtaa, Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu, alisema mradi huo ni sehemu ya kusaidia jamii kuondokana na kero ya majisafi na salama.

Alisema TBL kupitia kaulimbiu ya 'bila maji hakuna uhai,’ imelenga kuhakikisha jamii inaondokana na kero ya...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL yaahidi makubwa mradi wa mawasiliano vijijini

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imeahidi kutekeleza kwa ufanisi na kwa wakati zabuni iliyoshinda ya mradi wa kutoa huduma za mawasiliano vijijini. Ahadi hiyo imetolewa na Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni hiyo, Bw. Peter Ngota alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kampuni hiyo kutiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL inatekeleza mradi huo wenye thamani ya Tshs 9.8 bilioni baada ya kushinda zabuni hiyo....

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura (Kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa(TTCL) Justine Mwandu(Kushoto) baada ya kukamilisha mradi wa kuunganisha Makao Makuu ya NIC na matawi 24 nchi nzima kwenye mtandao wa TTCL(MPLS-VPN). Tukio hilo limefanyika katika ofisi za Shirika la Bima la Taifa (NIC).Meneja wa Mradi wa TTCL Ngayalina Mihayo akitoa ufafanuzi kuhusu Shirika la Bima la Taifa jinsi lilivyounganishwa katika mtandaowa TTCL wa MPLS- VPN.NIC...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Mvuti

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imetatua tatizo sugu la maji lililokuwa linaikabili zahanati ya Mvuti, Temeke, Dar es Salaam baada ya kukabidhi kisima kilichogharimu sh milioni 57. Kisima hicho kimezinduliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi visima 20 Misungwi

WAKAZI wilayani Misungwi, Mwanza wameondokana na  kero ya maji baada ya Kampuni ya Bia  Tanzania (TBL) kukarabati visima 20. Visima hivyo vilizinduliwa mwishoni mwa wiki na Waziri wa Maji, Profesa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tabata

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya sh milioni 38 katika kituo cha afya cha Tabata NBC. Hatua hiyo itaondoa adha kwa wajawazito ambao walikuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tunduma

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 5,000 kwa saa katika Hospitali ya Tunduma, wilayani Momba, Mbeya. Kisima hicho kimekabidhiwa jana na Ofisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima zahanati Makuburi

UHABA wa maji safi na salama uliokuwa unaikabili zahanati ya Makuburi, Wilaya ya Kinondoni umeelezwa ulikuwa unazorotesha huduma za afya katika zahanati hiyo. Changamoto hiyo ilielezwa mwishoni mwa wiki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani