Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL yakabidhi kisima Tunduma

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 5,000 kwa saa katika Hospitali ya Tunduma, wilayani Momba, Mbeya. Kisima hicho kimekabidhiwa jana na Ofisa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI MJI MDOGO WA TUNDUMA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya mji wa Tunduma Aidan Mwanshiga aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiud Saideya  akiwa na Meneja Matukio Kampuni ya Bia Tanzania  TBL Kanda ya nyanda za juu kusini Claud Chawene wakikata utepe kwa pamoja kuzindua kisima hicho cha Maji. Mkurugenzi wa Mamlaka ya mji wa Tunduma Aidan Mwanshiga aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiud Saideya akiongea na wafanyakazi wakituo cha Afya  Tunduma mara baada ya kukabidhiwa kisima hicho na TBL. Afisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Mvuti

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imetatua tatizo sugu la maji lililokuwa linaikabili zahanati ya Mvuti, Temeke, Dar es Salaam baada ya kukabidhi kisima kilichogharimu sh milioni 57. Kisima hicho kimezinduliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tabata

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya sh milioni 38 katika kituo cha afya cha Tabata NBC. Hatua hiyo itaondoa adha kwa wajawazito ambao walikuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima zahanati Makuburi

UHABA wa maji safi na salama uliokuwa unaikabili zahanati ya Makuburi, Wilaya ya Kinondoni umeelezwa ulikuwa unazorotesha huduma za afya katika zahanati hiyo. Changamoto hiyo ilielezwa mwishoni mwa wiki na...

 

11 years ago

Habarileo

TBL yakabidhi zahanati kisima cha milioni 25/-

KAMPUNI ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA ZAHANAT YA TABATA NBC

 Ofisa Uhusiano Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ,Dorris Malulu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo katika Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam. Kisima hicho kilizinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Ilala, Angelina Malembeka.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Ilala, Willy Sangu na anaye fatia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dk Assenga Severine na kulia ni Mganga Mfawidhi Zahanati ya Tabata NBC...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI

 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji , Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifungua maji ya bomba mara baada ya makabidhiano ya kisima kilichochimbwa na TBL kwa gahrama ya shilingi mil. 65 katika Kijiji cha Mwaseni Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo, wakiwatwisha...

 

11 years ago

GPL

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA ZAHANATI YA TABATA NBC‏

 Ofisa Uhusiano Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo katika Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam. Kisima hicho kilizinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Ilala, Angelina Malembeka. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Ilala, Willy Sangu na anayefuatia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani