Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL yakabidhi visima 20 Misungwi

WAKAZI wilayani Misungwi, Mwanza wameondokana na  kero ya maji baada ya Kampuni ya Bia  Tanzania (TBL) kukarabati visima 20. Visima hivyo vilizinduliwa mwishoni mwa wiki na Waziri wa Maji, Profesa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TBL YAFADHILI UCHIMBAJI VISIMA BAGAMOYO

 Mhandisi wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima vya maji unaofafadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu. Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kulia) akielekeza jambo kwa fundi alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA


Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto),  akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris MaluluMwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen Mwebuga (kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA‏

Mwakilishi wa Kampuchea ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto),  akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu. Mwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda...

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa msaada wa sh. mil 69 za ujenzi wa visima vya maji Vituka, Mwembeladu wilayani Temeke

 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa ajili ya kuchimba visima vya maji katika maeneo ya Vituka na Mwembeladu, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Katibu wa Diwani Bw. Ismail Ng’ombo (wa pili kulia), Bw. Kassimu Makoa na Bi. Zubeda Ali Ligubike aliyetoa eneo la mradi huo. (Na Mpigapicha Wetu)

 

10 years ago

Raia Tanzania

TBL yakabidhi mradi wa maji

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya Sh. milioni 69 kwa wakazi wa kata za Yombo Vituka na Mwembe Ladu, Manispaa ya Temeke.

Akizungumza baada ya kuzindua na kukabidhi kisima hicho kwa uongozi wa Serikali ya Mtaa, Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu, alisema mradi huo ni sehemu ya kusaidia jamii kuondokana na kero ya majisafi na salama.

Alisema TBL kupitia kaulimbiu ya 'bila maji hakuna uhai,’ imelenga kuhakikisha jamii inaondokana na kero ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Mvuti

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imetatua tatizo sugu la maji lililokuwa linaikabili zahanati ya Mvuti, Temeke, Dar es Salaam baada ya kukabidhi kisima kilichogharimu sh milioni 57. Kisima hicho kimezinduliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tunduma

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 5,000 kwa saa katika Hospitali ya Tunduma, wilayani Momba, Mbeya. Kisima hicho kimekabidhiwa jana na Ofisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tabata

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya sh milioni 38 katika kituo cha afya cha Tabata NBC. Hatua hiyo itaondoa adha kwa wajawazito ambao walikuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima zahanati Makuburi

UHABA wa maji safi na salama uliokuwa unaikabili zahanati ya Makuburi, Wilaya ya Kinondoni umeelezwa ulikuwa unazorotesha huduma za afya katika zahanati hiyo. Changamoto hiyo ilielezwa mwishoni mwa wiki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani