TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
Mwakilishi wa Kampuchea ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu. Mwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris MaluluMwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen Mwebuga (kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
TBL yatoa msaada wa sh. mil 69 za ujenzi wa visima vya maji Vituka, Mwembeladu wilayani Temeke
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa ajili ya kuchimba visima vya maji katika maeneo ya Vituka na Mwembeladu, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Katibu wa Diwani Bw. Ismail Ng’ombo (wa pili kulia), Bw. Kassimu Makoa na Bi. Zubeda Ali Ligubike aliyetoa eneo la mradi huo. (Na Mpigapicha Wetu)
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,...
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI, DAR