TBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
 Mkurugenzi wa Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya Dola 24,000 za Kimarekani kwa Meneja wa Fedha na Utawala wa Taasisi ya ACE Afrika, Bw. Oswald Mwita, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuongeza tija kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji wa mbuzi wa maziwa katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na Kampuni SABMiller tanzu ya TBL....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
11 years ago
MichuziTBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI ARUMERU
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
10 years ago
GPLWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA
11 years ago
MichuziSABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI ARUMERU
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-OEyrRKU7lUI/VUx2po2uLDI/AAAAAAAA1sE/96UT9aILrwk/s640/01.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
TBL, ACE-Africa, zinavyowaondoa wakazi wa Arusha katika umasikini
WANANCHI wilayani Arumeru, Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha hivi sasa ni kati ya watu wanaojivunia mafanikio makubwa ya ujasiriamali waliyopata kupitia uwezeshwaji uliofanywa na kampuni ya bia Tanzania (TBL)...
10 years ago
GPLNHC YATOA MSAADA WA MASHINE ZA MATOFALI, SH. 500,000 KWA VIJANA WALIOACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA KIGOGO, DAR