SABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI ARUMERU
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzche (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 64,000, Mwasisi na Mkurugenzi wa Taasisi ya ACE Africa, Joanna Waddington katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya TBL, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliotolewa na TBL kwa niaba ya Kampuni ya Sabmiller Afrika ni kwa ajili ya kusaidia kuboresha ufugaji wa mbuzi, kuongeza uzalishaji wa mazao ya vyakula na sekta ya maji katika Wilaya ya Arumeru,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI ARUMERU
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
TBL, ACE-Africa, zinavyowaondoa wakazi wa Arusha katika umasikini
WANANCHI wilayani Arumeru, Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha hivi sasa ni kati ya watu wanaojivunia mafanikio makubwa ya ujasiriamali waliyopata kupitia uwezeshwaji uliofanywa na kampuni ya bia Tanzania (TBL)...
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
11 years ago
Michuzi
MAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI YA UFADHILI WAO


10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Brand Africa to Announce the Africa’s Top 100 Most Admired and Most Valuable Brands at the 4th Annual Brand Africa 100
-The scope and sample countries have been vastly expanded from a base of 8 countries in the past years to 22 countries covering every leading African economy
Brand Africa (www.brandafrica.org) is to release its highly anticipated 4th Brand Africa 100: Africa’s Best Brands rankings of the Top 100 Most Admired and Most Valuable brands in Africa at a Gala event at Sandton Convention Center on 22 October 2015.
The rankings, first launched in 2011 at the second Brand Africa FORUM, have been...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Changia mafunzo ya wakunga, okoa maisha ya mama na mtoto - Amref health africa
.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
TBL yapongezwa kwa kuboresha afya za madereva
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, ameipongeza Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa jitihada za kuhakikisha usalama barabarani na afya za madereva zinaimarika.
Kamanda Mpinga alitoa pongezi hizo jana jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kupokea hundi ya Sh. milioni 124.6 kutoka TBL ili kufanikisha wiki ya usalama barabarani na kufadhili upimaji afya za madereva wa masafa marefu.
Akizungumza baada ya kupokea fedha hizo, Kamanda Mpinga alisema kwa miaka saba...