TBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
Mkurugenzi wa Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya Dola 24,000 za Kimarekani kwa Meneja wa Fedha na Utawala wa Taasisi ya ACE Afrika, Bw. Oswald Mwita, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuongeza tija kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji wa mbuzi wa maziwa katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na Kampuni SABMiller tanzu ya TBL.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu (kulia),...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA
11 years ago
MichuziTBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI ARUMERU
11 years ago
MichuziSABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI ARUMERU
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
TBL, ACE-Africa, zinavyowaondoa wakazi wa Arusha katika umasikini
WANANCHI wilayani Arumeru, Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha hivi sasa ni kati ya watu wanaojivunia mafanikio makubwa ya ujasiriamali waliyopata kupitia uwezeshwaji uliofanywa na kampuni ya bia Tanzania (TBL)...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fvGseIlfU80/VBolObHB7BI/AAAAAAAAuNk/MjOoj7P7cpM/s72-c/picha%2Bmakala%2B1.jpg)
MAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI YA UFADHILI WAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-fvGseIlfU80/VBolObHB7BI/AAAAAAAAuNk/MjOoj7P7cpM/s1600/picha%2Bmakala%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--1BOwp0LBt4/VBolMbGRN4I/AAAAAAAAuNU/hSY_JVzZmKE/s1600/PICHA%2BMAKALA%2B2%2BACE%2BAFRICA.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
TBL yatoa msaada wa vifaa vya usafi Ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-2YxUlPAojJE/VR2NH1sd0RI/AAAAAAABQIU/zMle1zYwtA0/s1600/TBL.jpg)
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania...
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sGDd74hOiZI/VCKCLkkJ18I/AAAAAAAAAFo/CtwEZNVhxy0/s1600/TBL%2B5.jpg)