TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu
Mwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen Mwebuga (kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
TBL yatoa msaada wa sh. mil 69 za ujenzi wa visima vya maji Vituka, Mwembeladu wilayani Temeke
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa ajili ya kuchimba visima vya maji katika maeneo ya Vituka na Mwembeladu, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Katibu wa Diwani Bw. Ismail Ng’ombo (wa pili kulia), Bw. Kassimu Makoa na Bi. Zubeda Ali Ligubike aliyetoa eneo la mradi huo. (Na Mpigapicha Wetu)
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-WuKigAmZbnA/U2eeQYPqxhI/AAAAAAAA-S4/fHvcQBosT3A/s1600/s11.jpg)
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI, DAR
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
TBL yatoa msaada wa vifaa vya usafi Ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-2YxUlPAojJE/VR2NH1sd0RI/AAAAAAABQIU/zMle1zYwtA0/s1600/TBL.jpg)
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania...