Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI ARUMERU

 Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akizungumza na mmoja wa wanakikundi  cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye ameanzisha ufugaji baada  kupata mafunzo kutoka asasi  isiyo ya kiserikali ya Ace Africa iliyopewa fedha kiasi cha dola za Marekani 64,000.  Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia(TBL)Kanda ya kaskazini,Wilderson Kitio(kulia)akizungumza na maafisa wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa  wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI ARUMERU


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  Robin Goetzche (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 64,000, Mwasisi na Mkurugenzi wa Taasisi ya ACE Africa, Joanna Waddington katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya TBL, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliotolewa na TBL kwa niaba ya Kampuni ya Sabmiller Afrika ni kwa ajili ya kusaidia kuboresha ufugaji wa mbuzi, kuongeza uzalishaji wa mazao ya vyakula na sekta ya maji katika Wilaya ya Arumeru,...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA

 Mkurugenzi wa Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya Dola 24,000 za Kimarekani kwa Meneja wa Fedha na Utawala wa Taasisi ya ACE Afrika, Bw. Oswald Mwita, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuongeza tija kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji wa mbuzi wa maziwa katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na Kampuni SABMiller tanzu ya TBL.
 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu (kulia),...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA‏

 Mkurugenzi wa Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya Dola 24,000 za Kimarekani kwa Meneja wa Fedha na Utawala wa Taasisi ya ACE Afrika, Bw. Oswald Mwita, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuongeza tija kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji wa mbuzi wa maziwa katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na Kampuni SABMiller tanzu ya TBL....

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI YA UFADHILI WAO

 Mwenyekiti wa Kikundi cha Tumaini Saccos, akiowanesha namna sanduku maalumu la kutunzia taarifa za kikundi chao linavyolindwa, wakati maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania walipokwenda hivi karibuni kukagua miradi mbalimbali ya wananchi wilayani Arumeru inayowezeshwa na Taasisi ya ACE AFRIKA kwa ufadhili wa TBL.
 Mwanachama wa Tumaini Saccos ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa kikundi hicho akionesha baadhi ya shughuli anazozifanya mbazo amewezeshwa na ACE AFRICA  chini ya ufadhili wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL, ACE-Africa, zinavyowaondoa wakazi wa Arusha katika umasikini

WANANCHI wilayani Arumeru, Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha hivi sasa ni kati ya watu wanaojivunia mafanikio makubwa ya ujasiriamali waliyopata kupitia uwezeshwaji uliofanywa na kampuni ya bia Tanzania (TBL)...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

SIMBA SC ambayo iko katika shughuli mbalimbali za kuadhimisha Simba Week imefanya ziara  ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza bia cha TBL kinachozalisha bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoidhamini timu hiyo.Akiongea katika ziara hiyo  Rais wa Simba, Evans Aveva alisema kuwa wao kama timu ya Simba wameamua kufanya ziara yao katika kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao kutembelea wadhamini kila mwaka ili kuimarisha uhusiano na wadhamini na kuweza kujionea mambo mbalimbali ambayo...

 

10 years ago

GPL

TRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA‏

 Mratibu wa Usalama afya na mazingira mahali pa kazi wa Kiwanda cha Bia nchini TBL Arusha Heavy Kassena akiwaonyesha baadhi ya maeneo na shughuli zinazofanywa kiwandani hapo askari wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Arusha, pembeni yake ni Ofisa Uhusiano wa TBL Makao Makuu Dorris Malulu, wakati wa ziara iliyofanyika kiwandani hapo juzi.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzaniaa (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja wa Afya na Usalama mahali pa kazi wa TBL, Renatus Nyanda akitoa maelezo kwa maofisa hao jinsi ya kuzingatia usalama watakapotembelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani