SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
SIMBA SC ambayo iko katika shughuli mbalimbali za kuadhimisha Simba Week imefanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza bia cha TBL kinachozalisha bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoidhamini timu hiyo.Akiongea katika ziara hiyo Rais wa Simba, Evans Aveva alisema kuwa wao kama timu ya Simba wameamua kufanya ziara yao katika kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao kutembelea wadhamini kila mwaka ili kuimarisha uhusiano na wadhamini na kuweza kujionea mambo mbalimbali ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
11 years ago
MichuziUONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
GPLMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
GPLTRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
10 years ago
VijimamboWANAJESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI CHA KENYA WATEMBELEA TBL
10 years ago
MichuziWanafunzi wa Chuo cha Taifa CHA UTALII WATEMBELEA TBL
Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu upishi wa bia kwa njia ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam...