UONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
eneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Calvin Nkya akieezea jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta, wakati ujumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ulipotembelea kiwanda hicho. Viongozi hao wa TPSF kutoka kushoto ni, aliyekaa ni Ofisa Mawasiliano, Rehema Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji Godfrey Simbeye, Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama, Louis Accaro na Mkurugenzi wa Sera, Edward Furaha.
Nkya akiwaonesha viongozi hao wa TPSF, mtambo wa kutengenezea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Aug
SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
GPLMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
11 years ago
GPL
TRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
10 years ago
VijimamboWANAJESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI CHA KENYA WATEMBELEA TBL
10 years ago
MichuziWanafunzi wa Chuo cha Taifa CHA UTALII WATEMBELEA TBL