MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
 Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga.  Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-XLj9SdudmdM/VDN5FGCc5DI/AAAAAAAAvLA/q5qpiYv5nkI/s1600/TBL%2B-TRAFFICK%2B1.jpg)
TRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
 Mratibu wa Usalama afya na mazingira mahali pa kazi wa Kiwanda cha Bia nchini TBL Arusha Heavy Kassena akiwaonyesha baadhi ya maeneo na shughuli zinazofanywa kiwandani hapo askari wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Arusha, pembeni yake ni Ofisa Uhusiano wa TBL Makao Makuu Dorris Malulu, wakati wa ziara iliyofanyika kiwandani hapo juzi.…
...
11 years ago
Michuzi05 Aug
SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
SIMBA SC ambayo iko katika shughuli mbalimbali za kuadhimisha Simba Week imefanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza bia cha TBL kinachozalisha bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoidhamini timu hiyo.Akiongea katika ziara hiyo Rais wa Simba, Evans Aveva alisema kuwa wao kama timu ya Simba wameamua kufanya ziara yao katika kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao kutembelea wadhamini kila mwaka ili kuimarisha uhusiano na wadhamini na kuweza kujionea mambo mbalimbali ambayo...
11 years ago
MichuziUONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
WAANDISHI wa Habari Mkoa wa Mbeya hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea kiwanda cha bia TBL Mbeya ambapo pia walipata nafasi ya kushiriki mashindano ya kuonja bia.
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3Oi3bgpT98CqwZPeK1PrGeeQqsl1cKr7ncL3y1X8Pr-e79b6EvGcB0Rw95jqQ9kidiy5MKKEox8Z3YcFgBYQd2-/n1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...
10 years ago
GPLJWTZ WATEGUA BOMU LILOTEGWA KATIKA ENEO LA KITUO CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA TBC SONGEA
Bomu lililotengenezwa kienyeji kama linavoonekana katika picha. Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akipata maelekezo kutoka kwa mtaaram wa mabomu ambaye ni kamanda wa Jeshi la Ulinzi la…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania