TTCL Yazindua Teknolojia ya 4G LTE
![](http://1.bp.blogspot.com/-IWEt_nklkbY/Vnqc64SnjGI/AAAAAAAAF2M/Qbub-RPmEwg/s72-c/IMG_9436.jpg)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE inayotolewa na kampuni hiyo. Kushoto ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.
Maeneo hayo ni pamoja na Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu, Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta. Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...
9 years ago
StarTV24 Dec
TCCL wazindua teknolojia ya 4G – LTE
Kampuni ya Simu ya TTCL, imezindua teknolijia mpya ya 4G-LTE, inayotarajiwa kuchochea mapinduzi ya upatikanaji wa huduma za data na kuongeza mchango kwenye pato ghafi la taifa kwa asilimia 5 hadi 6, tofauti na sasa ambapo mchango wake ni kati ya asilimia 1.4 hadi 2.
Huduma hiyo ya 4G-LTE, inayozinduliwa na TTCL itaongeza kasi na ufanisi kwenye huduma za internet ambazo kwa sasa zinatolewa pia na kampuni nyingine za simu za mkononi.
Uzinduzi wa huduma hii unakuja wakati ambapo soko la huduma...
10 years ago
Habarileo25 Apr
Teknolojia mpya 4G LTE yaingia Jijini
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali inashirikiana na sekta binafsi, ikiwa ni pamoja na kampuni za simu za mkononi kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1A1TEbHYa-E/VToCf2gbAGI/AAAAAAAHS2M/euhWKYgX89o/s72-c/IMG-20150424-WA0030.jpg)
Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-1A1TEbHYa-E/VToCf2gbAGI/AAAAAAAHS2M/euhWKYgX89o/s1600/IMG-20150424-WA0030.jpg)
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Tigo yazindua mtandao wenye kasi zaidi wa 4G LTE jijini Tanga.
Mkuu wa kitengo cha biashara (B2B) katika kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Rene Bascope, akihutubia hadhira iliyohudhuria uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi (4G LTE) uliozinduliwa jana jijini Tanga.
Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga, Nassor Sisiwaya (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (wa kwanza kulia) wakati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa wilaya ya Tanga, Abdullah Lutavi...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
TTCL yazindua promosheni ya bewerere
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua promosheni inayolenga kuwapa wananchi huduma bora kwa bei nafuu inayojulikana kwa jina la Bwerere. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa...
10 years ago
Michuzi04 Jul
TTCL Yakuza Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Waziri Mkuu Atembelea Banda Lao
![Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda akiwapongeza washiriki kwa kubuni huduma mbalimbali katika Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Wa pili kutoka kulia ni Kaimu mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam Bw. Karim Bablia.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0817.jpg)
![Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Veronica Ngusaru (kushoto) kuhusu faida mbalimbali za kutumia mtandao wa TTCL ndani ya banda la kampuni hiyo alipotembelea Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0802-1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0auWiDwm_EU/U-NJ0Z6SeVI/AAAAAAAF9uU/fj4Q3qvdlsY/s72-c/1.jpg)
TTCL YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA BWERERE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-0auWiDwm_EU/U-NJ0Z6SeVI/AAAAAAAF9uU/fj4Q3qvdlsY/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bFzp5YttLkE/U-NJ1LIiRKI/AAAAAAAF9uY/R2oduK7Eacw/s1600/2.jpg)
10 years ago
MichuziTTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...