Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL yazindua promosheni ya bewerere

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua promosheni inayolenga kuwapa wananchi huduma bora kwa bei nafuu inayojulikana kwa jina la Bwerere. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Airtel yazindua promosheni nyingine

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua promosheni mpya itakayofahamika kama ‘Jiongeze na Mshiko’ inayotarajiwa kudumu kwa siku 120.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini hapa jana, Meneja Huduma za Ziada wa kampunii hiyo, Prisca Tembo, alisema promosheni hiyo inalenga kuboresha uhusiano kati ya kampuni na wateja wake nchini kote.

“Wateja watakuwa wakizawadiwa kila wiki kwa miezi hiyo minne kupitia promosheni hii ambapo mteja atapewa nafasi ya kujiunga na...

 

9 years ago

Michuzi

TTCL Yazindua Teknolojia ya 4G LTE

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE inayotolewa na kampuni hiyo. Kushoto ni...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAZINDUA PROMOSHENI YA SHILINGI BILIONI 30

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila siku.Kushoto...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom, Oilcom yazindua promosheni ya gesi

KAMPUNI ya mawasiliano ya simu, Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya kusambaza na kuuza mafuta ya vyombo vya moto ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie ‘mtungi wa gesi’, itakayowahusu...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA BWERERE.

 Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo TTCL,Bwa.Peter Ngota akionesha kipeperushi chenye taarifa mbalimbali kuhusiana na huduma yao mpya iliyojulikana kwa jina la Bwerere,Kwa waandishi wa habari,huduma hiyo imezinduliwa leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ndani ya Ofisi za kampuni hiyo,zilizopo makao makuu mtaa wa Samora Jijini Dar.  Baadhi ya Wandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa huduma mpya ya TTCL iliyojulikana kwa jina la Bwerere ,kwenye moja ya...

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga

Katika adhima ya kufikisha mawasiliano vijijini, Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua mnara wa mawasiliano ya simu katika kata ya Pagwi, wilaya ya Kilindi Mkoa wa Tanga.
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...

 

5 years ago

Michuzi

Tigo yazindua Promosheni ya Bid-2-Win (Toa bei Ushinde)

Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichanoI). mapema leo katika uzinduzi wa promosheni ijulikanayo kama ‘Bid-2-Win’ au Toa bei ushinde itakayowapa wateja nafasi ya kununua bidhaa mbalimbali kwa bei ya chini. Katika promosheni hiyo wateja wateweza kujishindia zawadi zenye thamani ya hadi Sh5 milioni. Pembeni yake ni Mtaalam wa huduma za ziada Fabian Felician. Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akijibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani