Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom, Oilcom yazindua promosheni ya gesi

KAMPUNI ya mawasiliano ya simu, Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya kusambaza na kuuza mafuta ya vyombo vya moto ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie ‘mtungi wa gesi’, itakayowahusu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom na Oilcom wazindua promosheni ya Jishindie mtungi wa gesi

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie mtungi wa gesi, ambapo wateja wa Vodacom watakaojaza mafuta kwa huduma ya M-pesa kwenye vituo vya kampuni ya mafuta ya Oil Com watajishindia mtungi wa gesi.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hii leo katika kituo cha Oilcom cha mtaa wa Libya jijini Dar es Salaam ,Meneja Uhusiano wa Masuala ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim,alisema kuwa promosheni hii imewalenga watumiaji...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAZINDUA PROMOSHENI YA SHILINGI BILIONI 30

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila siku.Kushoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL yazindua promosheni ya bewerere

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua promosheni inayolenga kuwapa wananchi huduma bora kwa bei nafuu inayojulikana kwa jina la Bwerere. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Airtel yazindua promosheni nyingine

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua promosheni mpya itakayofahamika kama ‘Jiongeze na Mshiko’ inayotarajiwa kudumu kwa siku 120.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini hapa jana, Meneja Huduma za Ziada wa kampunii hiyo, Prisca Tembo, alisema promosheni hiyo inalenga kuboresha uhusiano kati ya kampuni na wateja wake nchini kote.

“Wateja watakuwa wakizawadiwa kila wiki kwa miezi hiyo minne kupitia promosheni hii ambapo mteja atapewa nafasi ya kujiunga na...

 

11 years ago

Habarileo

Vodacom yajumuika na washindi wa promosheni

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda, iliyodumu kwa miezi mitatu kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaja na promosheni ya “shinda na kabumbu”

Wadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wameletewa Promosheni mpya na ya aina yake iliyozinduliwa jana na kampuni hiyo ambapo imewalenga wapenzi wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki katika Promosheni ya “SHINDA NA KAMBUMBU”
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Watano wajishindia fedha promosheni ya Jaymillions ya vodacom

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama(kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki,wengine katika picha(kulia) ni mtaalamu wa mifumo ya kompyuta Michael Kanakakis,waliokaa (kutoka kulia) ni Dimitrios Lintis na Zakaria Kanyi.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani