Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom na Oilcom wazindua promosheni ya Jishindie mtungi wa gesi

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie mtungi wa gesi, ambapo wateja wa Vodacom watakaojaza mafuta kwa huduma ya M-pesa kwenye vituo vya kampuni ya mafuta ya Oil Com watajishindia mtungi wa gesi.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hii leo katika kituo cha Oilcom cha mtaa wa Libya jijini Dar es Salaam ,Meneja Uhusiano wa Masuala ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim,alisema kuwa promosheni hii imewalenga watumiaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom, Oilcom yazindua promosheni ya gesi

KAMPUNI ya mawasiliano ya simu, Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya kusambaza na kuuza mafuta ya vyombo vya moto ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie ‘mtungi wa gesi’, itakayowahusu...

 

9 years ago

Dewji Blog

BE FORWARD yakabidhi gari Toyota IST kwa mshindi jijini Arusha katika Promosheni ya Jishindie IST

DSC00871

Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la Tanzania

DSC00877

Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12

DSC00875

Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe...

 

11 years ago

Habarileo

Mtungi wa gesi waua mtu Mwanza

MTU amekufa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mtungi wa gesi ya kuchomelea kupasuka, ambapo marehemu alikatika vipande vipande.

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST


DSC00871Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaDSC00877Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
DSC00875Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...

 

11 years ago

Habarileo

Vodacom yajumuika na washindi wa promosheni

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda, iliyodumu kwa miezi mitatu kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAZINDUA PROMOSHENI YA SHILINGI BILIONI 30

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila siku.Kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaja na promosheni ya “shinda na kabumbu”

Wadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wameletewa Promosheni mpya na ya aina yake iliyozinduliwa jana na kampuni hiyo ambapo imewalenga wapenzi wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki katika Promosheni ya “SHINDA NA KAMBUMBU”
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...

 

10 years ago

Michuzi

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto)akihakiki namba ya simu ya mshindi wa promosheni ya JayMillions anayoonyeshwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Katikati)wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/-anaeshuhudia kulia ni Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani