BE FORWARD yakabidhi gari Toyota IST kwa mshindi jijini Arusha katika Promosheni ya Jishindie IST
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake, Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la Tanzania
Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi07 Dec
KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake, Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaMuonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...
10 years ago
GPLMVUVI KATIKA KISIWA CHA YOZU WILAYA YA SENGEREMA AIBUKA NA TOYOTA IST
Kaimu Meneja Mauzo Kanda ya Ziwa wa Airtel Bwana David Wankuru akimkabithi gari aina ya Toyota IST bwana Kijiji Gweso ambaye ni Mvuvi na mkazi wa wilaya ya Sengerema Mwanza mara baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde . Mshindi wa gari kupitia promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bwana Kijiji… ...
11 years ago
MichuziNBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...
10 years ago
MichuziWATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUNUFAIKA NA TOYOTA IST ZA YATOSHA ZAIDI
Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bwn Mohamed Ahmed Khamisi mara baada kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya nne ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi. Bi Emiliana ni mfanya biashara ndogo ndogo na mkazi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara akishuhudia ni meneja mauzo wa Airtel kanda ya kaskazini bwana Brighton Majwala.Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya...
10 years ago
GPLMCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST
 Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.  Meneja Biashara wa… ...
10 years ago
MichuziAirtel yakabadhi wakaazi wawili wa Mkoa wa Manyara magari aina ya Toyota IST
Wakaazi wa wawili wa wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kwa pamoja wamezawadiwa magari yao aina ya Toyota IST mara baada ya kuibuka washindi katika droo za promosheni ya Airtel yatosha Zaidi inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Mpaka sasa jumla ya washindi 37 wameshapatikana kutoka katika mikoa mbalimbali ikiwa bado promosheni inaendelea na magari mengi bado yanasubiri washindi ili wakabithiwe akiongea wakati wa halfa ya kukabidhi magari kwa wateja wa Airtel Mkoani...
10 years ago
MichuziMkazi wa Kondoa akabithiwa Toyota IST na Washindi saba wa Airtel yatosha watangazwa
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imemkabidhi gari aina ya Toyata IST kwa Bwana Juma Said Alli mkazi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma mara baada ya kuiba mshindi katika droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel yatosha zaidi. Zawadi hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni 15 ilikabidhiwa kwa Alli mwishoni mwa wiki na Meneja wa Airtel Kanda ya Kati, Stephen Akyoo. Akizungumza mbele ya vyombo vya habari wakati akikabidhiwa gari hiyo aina ya IST, yenye namba za usajili T778 DCZ, Alli...
11 years ago
GPLAIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO
Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi wa Promosheni ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini. Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi wa… ...
10 years ago
Vijimambo01 Jul
Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam. Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora MapundaMshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akiwa ndani ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania