WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUNUFAIKA NA TOYOTA IST ZA YATOSHA ZAIDI
Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bwn Mohamed Ahmed Khamisi mara baada kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya nne ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi. Bi Emiliana ni mfanya biashara ndogo ndogo na mkazi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara akishuhudia ni meneja mauzo wa Airtel kanda ya kaskazini bwana Brighton Majwala.Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMkazi wa Kondoa akabithiwa Toyota IST na Washindi saba wa Airtel yatosha watangazwa
10 years ago
GPL‘AIRTEL YATOSHA ZAIDI’ YAZINDULIWA, WATEJA KUONDOKA NA GARI
10 years ago
MichuziAirtel yakabadhi wakaazi wawili wa Mkoa wa Manyara magari aina ya Toyota IST
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
BE FORWARD yakabidhi gari Toyota IST kwa mshindi jijini Arusha katika Promosheni ya Jishindie IST
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake, Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la Tanzania
Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe...
9 years ago
Michuzi07 Dec
KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake, Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaMuonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...
10 years ago
MichuziAirtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza
10 years ago
MichuziAirtel yaitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kwa wakazi wa Arusha
10 years ago
GPLAIRTEL YAITAMBULISHA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA ARUSHA
10 years ago
MichuziAirtel Yatangaza kufanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kuitambulisha promosheni ya Airtel yatosha zaidi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma, kwenye hoteli ya Dodoma, Afisa Uhusiano wa Airtel,Bi. Jane Matinde alisema” kama ilivyo kawaida tunazunguka katika mikoa mbalimbali kutoa elimu juu ya huduma na bidhaa zetu pamoja...