Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora MapundaMshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akiwa ndani ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBODI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YAKABIDHI LESENI KWA KAMPUNI YA MURHANDZIWA KUENDESHA MICHEZO HIYO
11 years ago
MichuziNBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe
9 years ago
MichuziBenki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...
11 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Enhance Auto yakabidhi Gari kwa mshindi wa shindano la matumizi bora ya mitandao ya kijamii
![](http://3.bp.blogspot.com/-5oem3JbZvjc/Vm1Za8s6ZtI/AAAAAAAAm8U/SeddYaogem0/s640/3.jpg)
Kamanda wa Kikosi Usalama barabarani, Mohamed Mpinga (kulia) akimkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Surf, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jackson Kapongo aliyeshinda kupitia mchezo wa Matumizi bora ya Mitandao ya Kijamii iliyoendeshwa na Kampuni ya Enhance Auto ya Jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Enhance Auto, Aatif Farooq Butt.(Picha na Father Kidevu Blog).
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZN1_LDWV9UQ/Vm1q-91-1eI/AAAAAAAAm8k/KXsCJRATPfA/s640/2A.jpg)
Mkurugenzi wa Enhance Auto, Aatif Farooq Butt akionesha stika za kuhamasisha usalama barabarani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m2dop3vQlLmRrsOerQTtF4EZhtP*mW9MjxFbCVDymGXGbas8aviyS49*q85FmoX7vU1QZMZp6qUxIBMXN0UV08CJeFRK*nOw/pic8.jpg?width=750)
AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MTWARA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gJ55FVSXTh8/VOIHCVxB12I/AAAAAAAHEBk/bOFQeTaf9ys/s72-c/pic%2B8.jpg)
AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MKOANI MTWARA MWISHONI MWA WIKI
![](http://1.bp.blogspot.com/-gJ55FVSXTh8/VOIHCVxB12I/AAAAAAAHEBk/bOFQeTaf9ys/s1600/pic%2B8.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel Bi Aminata Keita, na Meneja Biashara wa kanda ya Pwani Bw Albert...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
BE FORWARD yakabidhi gari Toyota IST kwa mshindi jijini Arusha katika Promosheni ya Jishindie IST
Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake, Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la Tanzania
Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe...
9 years ago
Michuzi07 Dec
KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST
![DSC00871](https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/12/dsc00871.jpg?w=627)
![DSC00877](https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/12/dsc00877.jpg?w=627)
![DSC00875](https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/12/dsc00875.jpg?w=627)