Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi bodaboda kwa mshindi wa Weka Upewe Karatu

Kaimu Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Karatu, Wende Lyimo (wa pili kulia) akikabidhi zawadi ya bodaboda kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya weka upewe, Mchungaji Christopher Kingo katika hafla iliyofanyika tawini hapo, Arusha hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wateja wa benki hiyo na mfanyakazi wa benki hiyo, Kalist Masika (kulia).

 

10 years ago

Michuzi

Mteja wa Benki ya NBC Tawi Bukoba akabidhiwa zawadi kubwa ya gari la Promosheni ya Weka Upewe

Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Pius Tibazarwa (katikati) akikabidhi funguo kwa mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe, Josephat Ruyongo mkazi wa Bukoba, ya gari lake jipya alilojishindia la Nissan Hardbody katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NBC, Mussa Jallow. Gari hilo lina thamani ya zaidi ya sh milioni 54. Mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe ya Benki ya NBC, mkazi...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua Kampeni ya Weka Upewe awamu ya pil

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Mussa Jallow (katikati) Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Binafsi na Bidhaa za Kuwekeza, Andrew Massawe wakionyesha vipeperushi kuashiria uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Weka Upewe ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Weka Upewe ya mwaka 2014 jijini Dar...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao

Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika promosheni hiyo hivi karibuni na baadhi ya wafanyakazi wa tawi hilo wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Njombe. Droo kubwa ya promosheni hiyo itafanyika wiki ijayo. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera Mheshimiwa Elizabeth Batenga akiwa na wafanyakazi wa NBC tawi la...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo

Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Aloyse Maro (kushoto) akikabidhi mfano wa ufunguo wa gari kwa Meneja Mahusiano Msaidizi wa benki hiyo Bi. Naomi Sanga (katikati) ambaye alimuwakilisha mshindi mkuu wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo aliyejishindia gari aina ya Toyota IST kwenye hafla fupi ya makabidhiani iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo Bw Abdulrahman Nkondo.
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

Meneja wa benki ya Exim tawi la Exim Tower, Bi. Rose Kanijo (kushoto), akikabidhi zawadi ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Prabhjot Singh, mkazi wa Dar es Salaam katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika makao makuu ya benki ya Exim jijini Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo inayoendelea kwa miezi mitano zaidi, inalenga kuhamasisha utamaduni wa kujiwekea akiba miongoni mwa Watanzania.

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA NBC AONDOKA NA BAJAJI JIJINI MWANZA

 Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni  ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (wa nne kushoto), akikabidhiwa kadi ya Bajaj na kibao cha namba na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja, jijini humo. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo tawini hapo.  Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni  ya 'Weka Upewe' ya  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile akiwa ndani ya bajaji hiyo mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani