Benki ya NBC yakabidhi bodaboda kwa mshindi wa Weka Upewe Karatu
![](http://1.bp.blogspot.com/-aT2d39R-l2k/VJLhiDmEblI/AAAAAAAG4Ng/nARpqteTzJY/s72-c/unnamed.jpg)
Kaimu Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Karatu, Wende Lyimo (wa pili kulia) akikabidhi zawadi ya bodaboda kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya weka upewe, Mchungaji Christopher Kingo katika hafla iliyofanyika tawini hapo, Arusha hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wateja wa benki hiyo na mfanyakazi wa benki hiyo, Kalist Masika (kulia).
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe
11 years ago
MichuziNBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe
10 years ago
MichuziMSHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA NBC AONDOKA NA BAJAJI JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-G3iQUjNI0CY/VA2DiyNLYmI/AAAAAAAGhss/b-_bJhkClD0/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Benki ya NBC yazindua Kampeni ya Weka Upewe awamu ya pil
![](http://1.bp.blogspot.com/-G3iQUjNI0CY/VA2DiyNLYmI/AAAAAAAGhss/b-_bJhkClD0/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-l5hPOBPrzaY/VA2Di33b39I/AAAAAAAGhsw/RQb29CyMXBY/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
10 years ago
MichuziMteja wa Benki ya NBC Tawi Bukoba akabidhiwa zawadi kubwa ya gari la Promosheni ya Weka Upewe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RULBb67cgPk/VK55inPZAgI/AAAAAAAG7-g/9lz3ZLp59oc/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
MKAZI WA BUKOBA ASHINDA NISSAN DOUBLE CABIN PICK UP KATIKA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA BENKI YA NBC
![](http://3.bp.blogspot.com/-RULBb67cgPk/VK55inPZAgI/AAAAAAAG7-g/9lz3ZLp59oc/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
NBC yazawadia washindi wa ‘weka upewe’
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya droo yake ya pili ya promosheni ya ‘weka upewe’ huku wakigawa zawadi kwa washindi wa kwanza wa droo hiyo. Droo hiyo iliyofanyika katika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s72-c/1.jpg)
Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao
![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TlhrBRHwsT4/Uu4Wz1NF15I/AAAAAAAFKPk/DsirTXeAzZc/s1600/2.jpg)