MSHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA NBC AONDOKA NA BAJAJI JIJINI MWANZA
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (wa nne kushoto), akikabidhiwa kadi ya Bajaj na kibao cha namba na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja, jijini humo. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo tawini hapo.
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile akiwa ndani ya bajaji hiyo mara baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s72-c/1.jpg)
Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao
![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TlhrBRHwsT4/Uu4Wz1NF15I/AAAAAAAFKPk/DsirTXeAzZc/s1600/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aT2d39R-l2k/VJLhiDmEblI/AAAAAAAG4Ng/nARpqteTzJY/s72-c/unnamed.jpg)
Benki ya NBC yakabidhi bodaboda kwa mshindi wa Weka Upewe Karatu
![](http://1.bp.blogspot.com/-aT2d39R-l2k/VJLhiDmEblI/AAAAAAAG4Ng/nARpqteTzJY/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
MichuziMteja wa Benki ya NBC Tawi Bukoba akabidhiwa zawadi kubwa ya gari la Promosheni ya Weka Upewe
11 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RULBb67cgPk/VK55inPZAgI/AAAAAAAG7-g/9lz3ZLp59oc/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
MKAZI WA BUKOBA ASHINDA NISSAN DOUBLE CABIN PICK UP KATIKA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA BENKI YA NBC
![](http://3.bp.blogspot.com/-RULBb67cgPk/VK55inPZAgI/AAAAAAAG7-g/9lz3ZLp59oc/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Watatu washinda promosheni ya ‘Weka Upewe’
BENKI ya NBC imetangaza washindi wa kwanza wa promosheni ya Weka Upewe, ambako wateja wenye Akaunti ya Malengo wana nafasi sawa ya kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo pikipiki, bajaji na zawadi...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
NBC yazawadia washindi wa ‘weka upewe’
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya droo yake ya pili ya promosheni ya ‘weka upewe’ huku wakigawa zawadi kwa washindi wa kwanza wa droo hiyo. Droo hiyo iliyofanyika katika...