Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtungi wa gesi waua mtu Mwanza

MTU amekufa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mtungi wa gesi ya kuchomelea kupasuka, ambapo marehemu alikatika vipande vipande.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom na Oilcom wazindua promosheni ya Jishindie mtungi wa gesi

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie mtungi wa gesi, ambapo wateja wa Vodacom watakaojaza mafuta kwa huduma ya M-pesa kwenye vituo vya kampuni ya mafuta ya Oil Com watajishindia mtungi wa gesi.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hii leo katika kituo cha Oilcom cha mtaa wa Libya jijini Dar es Salaam ,Meneja Uhusiano wa Masuala ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim,alisema kuwa promosheni hii imewalenga watumiaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa gesi waua 25 India

Polisi nchini India wanasema kuwa watu 25 waweuawa wakati mtungi wa gesi ulipolipuka katika hoteli moja nchini India

 

10 years ago

Habarileo

Umeme waua mtu akijengea kaburi

MKAZI wa Iringa, Leonora Kisumbi (44) amekufa huku watu wengine watatu wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyaya ya umeme mkubwa wa kilovoti 33 wakati wakijengea kaburi la ndugu yao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania washauriwa kuitumia neema ya gesi kupeleka hifadhi ya jamii kwa kila mtu

DSC_0013

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha, Mh. Aggrey Mwanri, akiendesha shughuli za mkutano huo uliomalizika hivi karibuni katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC).(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na  Mwandishi wetu, Arusha

MTAALAMU mmoja wa masuala ya uchumi anayefanyakazi na Shirika la Maendeleo la Umoja wa...

 

11 years ago

GPL

JIKO LA GESI LATEKETEZA NYUMBA MISUNGWI MWANZA

Mwananchi juu ya paa la nyumba ya mtu mmoja maarufu kwa jina la Mama Mayunga, akijaribu kurusha vifuko vya mchanga katika moja ya majengo ya nyumba iliyozuka moto Jana majira ya saa 5 asubuhi mtaa wa Majengo jirani na Masangwa Guest House wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Moto huo unaotajwa chanzo chake kusababishwa na jiko la gesi ulilipuka na kuiteketeza… ...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.

 Pichani juu ni mmoja wa majeruhi akisaidiwa na msamaria mwema mara baada ya kupata ajali. 
 Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea. Baadhi ya Abiria wakiwa nje ya basi la Jordan mara baada ya kupinduka...

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mtu Chee Ft Jux,Deddy — Mtu Tatu

Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Killer wameachia wimbo mpya unaitwa “Mtu Tatu” wamewashirikisha Jux na Deddy Studio Kiri Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani