Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme waua mtu akijengea kaburi

MKAZI wa Iringa, Leonora Kisumbi (44) amekufa huku watu wengine watatu wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyaya ya umeme mkubwa wa kilovoti 33 wakati wakijengea kaburi la ndugu yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Umeme waua mtoto

WANANCHI wa tarafa ya Mang’ula Wilayani Kilombero wamelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kupuuzia kurekebisha miundombinu yake katika eneo hilo na kusababisha kifo cha mtoto Amon Ndawala (5).

 

11 years ago

Habarileo

Mtungi wa gesi waua mtu Mwanza

MTU amekufa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mtungi wa gesi ya kuchomelea kupasuka, ambapo marehemu alikatika vipande vipande.

 

11 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

10 years ago

Bongo5

Music: Mtu Chee Ft Jux,Deddy — Mtu Tatu

Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Killer wameachia wimbo mpya unaitwa “Mtu Tatu” wamewashirikisha Jux na Deddy Studio Kiri Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU

NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...

 

11 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAMPENDA MTU WA MTU ILI IWEJE?

JUMAMOSI nyingine mpenzi msomaji wa safu hii tunakutana kuweza kujuzana masuala ya mahaba. Hapa tunawekana sawa, wiki iliyopita tulijifunza namna ambavyo tabia inavyoweza kujenga au kubomoa uhusiano.

Nilieleza kwamba, uzuri wa umbo, sura na vitu vingine vinapaswa kuwa chaguo la pili kwa mwanamke au mwanaume. Chaguo la kwanza linapaswa kuwa tabia njema. Ili uweze kudumu na mtu kwenye uhusiano ni vyema mkasomana tabia, ziwe njema na wote mfanane.

Ukimfuata mwanaume au mwanamke kutokana na mvuto...

 

10 years ago

GPL

UNAMPENDA MTU WA MTU ILI IWEJE?

JUMAMOSI nyingine mpenzi msomaji wa safu hii tunakutana kuweza kujuzana masuala ya mahaba. Hapa tunawekana sawa, wiki  iliyopita tulijifunza namna ambavyo tabia inavyoweza kujenga au kubomoa uhusiano. Nilieleza kwamba, uzuri wa umbo, sura na vitu vingine vinapaswa kuwa chaguo la pili kwa mwanamke au mwanaume. Chaguo la kwanza linapaswa kuwa tabia njema. Ili uweze kudumu na mtu kwenye uhusiano ni vyema mkasomana tabia, ziwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani