Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme waua mtoto

WANANCHI wa tarafa ya Mang’ula Wilayani Kilombero wamelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kupuuzia kurekebisha miundombinu yake katika eneo hilo na kusababisha kifo cha mtoto Amon Ndawala (5).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Umeme waua mtu akijengea kaburi

MKAZI wa Iringa, Leonora Kisumbi (44) amekufa huku watu wengine watatu wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyaya ya umeme mkubwa wa kilovoti 33 wakati wakijengea kaburi la ndugu yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukuta waua mtoto

MTOTO Jackline Lubaka (5) mkazi wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya Wakihenya, alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mti waua mama, mtoto

MAMA mjamzito, Sara Leonard (22) na mtoto wake, Christina Salum (4) , wakazi wa Kijiji cha Mgusu, wilayani Geita  wamefariki dunia  baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kudondokewa na mti. Tukio...

 

10 years ago

Dewji Blog

MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida

DSC03164

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa  mtuhumiwa.

Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo

Muimbaji nyota wa nchini Canada mwenye asili ya India, Raghav Mathur ameachia wimbo ‘Until the Sun Comes Up’ aliowashirikisha muigizaji wa Hollywood, Abhishek Bachchan na rapper wa Marekani Nelly kama sehemu ya mradi wa kuleta umeme wa jua nchini Tanzania. Kutokana na mradi huo kupitia taasisi ya SolarAid, Raghav alisambaza taa 300 zinazotumia umeme wa […]

 

11 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani