Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo
Muimbaji nyota wa nchini Canada mwenye asili ya India, Raghav Mathur ameachia wimbo ‘Until the Sun Comes Up’ aliowashirikisha muigizaji wa Hollywood, Abhishek Bachchan na rapper wa Marekani Nelly kama sehemu ya mradi wa kuleta umeme wa jua nchini Tanzania. Kutokana na mradi huo kupitia taasisi ya SolarAid, Raghav alisambaza taa 300 zinazotumia umeme wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jAlUW1R_Bzg/U89hG2faIKI/AAAAAAAF5B8/gRg-bJvsGho/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Tanzania kufaidika na umeme jua kutoka Canada
![](http://4.bp.blogspot.com/-jAlUW1R_Bzg/U89hG2faIKI/AAAAAAAF5B8/gRg-bJvsGho/s1600/unnamed+(6).jpg)
10 years ago
Bongo505 Jan
New Video: Wyre atoa video ya wimbo alio-sample ‘Monie’ ya Kanda Bongo Man
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq8RRdil1*5dl08ePHwWB5wfLjQE-ge26RONKWwysbAFnoW4zFOOiafx3zFJP0Uzu13wDfptY7G2aJnR2mYnhD5F/p.txt.jpg?width=650)
PAM D: WIMBO UNAJULIKANA KULIKO MIMI MUIMBAJI
9 years ago
Bongo528 Nov
Wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ umeandikwa na muimbaji wa ‘Mchumba’ H.Mbizo
![Shaa uhindi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Shaa-uhindi-300x194.jpg)
Aliyeandika wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ uliotoka wiki hii, ni msanii wa muda mrefu aitwaye H.Mbizo.
H.Mbizo ni msanii aliyewahi kufanya vizuri miaka ya nyuma na wimbo wake uitwao ‘Mchumba’.
Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa Mbizo aliuandika wimbo wote miaka miwili iliyopita na kutayarishwa na producer wa Nigeria aitwaye Big H.
Ameongeza kuwa wengine waliohusika na utayarishaji wa wimbo huo ni producer Shirko pamoja na shemeji Master Jay.
Katika hatua nyingine Shaa kupitia gazeti la Mtanzania...
5 years ago
Bongo514 Feb
Muimbaji wa ‘Amarula’ amemtaja msanii wa Bongo atakayesikika kwenye albamu yake
Msanii Roberto kutoka Zambia amemtaja msanii wa Bongo Fleva, ambaye atasikika kwenye albamu yake mpya.
Muimbaji huyo ambaye amewahi kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Amarula, amemtaja msanii huyo kuwa ni Vanessa Mdee.
“Kuna nyimbo 12 kwenye albamu yangu mpya, pamoja na nyimbo mbili za ziada, hivyo jumla ni 14. Nimewashirikisha wasanii kama Patoranking (Nigeria), Vanessa Mdee (Tanzania), Dammy Krane (Nigeria), Jay Rox (Zambia), kundi la BrathaHood, General Ozzy, Mandela na Young Rico,”...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Zahanati kufungiwa umeme wa jua
ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...
11 years ago
Michuzi27 Feb
Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri.
Wimbo huo umerekodiwa na...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10
JUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.