Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAM D: WIMBO UNAJULIKANA KULIKO MIMI MUIMBAJI

Na Hans Mloli
UKIWATAJA chipukizi wanaofanya vizuri zaidi kwa sasa kwenye Bongo Fleva basi jina la Mwanadada, Pamella Daffa a.k.a Pam D huwezi kuliweka pembeni kutokana na wimbo wake wa Nimempata.

Wimbo huo ni wa kwanza kwake kufanya vizuri na kumweka vema kwenye ramani, umetengenezwa na prodyuza Mesen Selekta ambaye pia amemshirikisha kutoka Studio za D Fatality Music na umemuweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua tuzo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ umeandikwa na muimbaji wa ‘Mchumba’ H.Mbizo

Shaa uhindi

Aliyeandika wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ uliotoka wiki hii, ni msanii wa muda mrefu aitwaye H.Mbizo.

Shaa uhindi

H.Mbizo ni msanii aliyewahi kufanya vizuri miaka ya nyuma na wimbo wake uitwao ‘Mchumba’.

Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa Mbizo aliuandika wimbo wote miaka miwili iliyopita na kutayarishwa na producer wa Nigeria aitwaye Big H.

Ameongeza kuwa wengine waliohusika na utayarishaji wa wimbo huo ni producer Shirko pamoja na shemeji Master Jay.

Katika hatua nyingine Shaa kupitia gazeti la Mtanzania...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo

Muimbaji nyota wa nchini Canada mwenye asili ya India, Raghav Mathur ameachia wimbo ‘Until the Sun Comes Up’ aliowashirikisha muigizaji wa Hollywood, Abhishek Bachchan na rapper wa Marekani Nelly kama sehemu ya mradi wa kuleta umeme wa jua nchini Tanzania. Kutokana na mradi huo kupitia taasisi ya SolarAid, Raghav alisambaza taa 300 zinazotumia umeme wa […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather:Mimi ni bora kuliko Moh'd Ali

Floyd Mayweather amesisitiza kuwa yeye ndio bondia bora zaidi kuliko Mohammed Ali.

 

9 years ago

Michuzi

CHIKU ABWAO: HERI YA MONICA MBEGA WA CCM KULIKO MCHUNGAJI MSIGWA WA CHADEMA NAOMBA NICHAGUENI MIMI SAFARI HII

MGOMBEA  Ubunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT Wazalendo Bi Chiku Abwao(pichani) amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mobica Mbega ( CCM) kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema)hivyo ametawa mwaka huu wananchi kumchagua yeye
Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni za Ubunge jana  kata ya Kihesa alisema iwapo atakuwa mbunge wao atahakikisha anakuwa mbunge wa mfano wa kuwaletea maendeleo sahihi.
Kwani alisema kuwa historia ya jimbo hilo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu  wengi kudhani kuwa  wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa  wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.

 “Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...

 

11 years ago

GPL

IBADA YA MAZISHI YA MUIMBAJI DEBORAH SAID YAFANYIKA

Kundi la waimbaji likiungana kuimba wimbo wa kumuaga marehemu Deborah Said. Marehemu Deborah John Said enzi za uhai wake.…

 

10 years ago

Bongo5

Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia

Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza. Msanii huyo aliyewahi kufanya vyema na wimbo wake ‘Fikiria’ alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananchi mjini Dodoma. Mez B aliyezaliwa kwa jina la Moses Bushagama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia. Hivi karibuni aliongea na E-News […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani