Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA MAZISHI YA MUIMBAJI DEBORAH SAID YAFANYIKA

Kundi la waimbaji likiungana kuimba wimbo wa kumuaga marehemu Deborah Said. Marehemu Deborah John Said enzi za uhai wake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ibada maalum ya mazishi ya Baba mpendwa wa Mamertha na Henry Kente yafanyika

 

Picha ya baba mzazi wa Mamertha na Henry Kente Mr. Wilbard W. Kente enzi ya uhai wake  

Mamertha na Deo wakifuatilia ibada ya mazishi ya Mr. Wilbard Kente baba mzazi wa Mamertha na Henry aliyefariki siku ya Jumapili Feb 1, 2015 Tanzania na kuzikwa siku ya Jumatano Februari 4, 3015 Mbezi jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na ibada ya mazishi iliyofanyika siku hiyo ya Jumatano Feb 4, 2015 Bowie, Maryland nchini Marekani nyumbani kwa Mr & Mrs Mosha na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na...

 

9 years ago

StarTV

Ibada ya kuombea uchaguzi yafanyika mkoani Iringa

Viongozi wa Juu wa Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Amina Masenza wameshiriki Ibada maalum ya kuombea Taifa amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Ibada hiyo maalum imefanyika Jumamosi hii mjini Iringa katika Kanisa Kuu la Sloam njia ya Kusini na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wa Kanisa hilo.

Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa walinyanyua bendera na ramani ya Taifa wakati wa...

 

11 years ago

GPL

IBADA YA KUMUAGA MWANZILISHI WA TGNP, FIDES CHALE YAFANYIKA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidelis Siwangu Chale likiwa katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar.
Jeneza likishushwa kutoka kwenye gari ili kuingia kanisani.…

 

5 years ago

Michuzi

IBADA YA KWANZA MSIKITI MPYA WA BAKWATA YAFANYIKA, DK. BASHIRU AHUSISHWA

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu na wasio waumini jijini Mwanza wametakiwa kuendelea kuchangia na kukamilisha ujenzi wa Msikiti mpya wa Ijumaa wa Abubakar Zuberi Mbwana (Mutfi wa Tanzania), unaomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa Mwanza.

Sheikhe wa Mkoa wa Mwanza, Alhaji Hasani Kabeke alisema jana kuwa msikiti huo umeanza kutumiwa kwa ibada na waumini wa dini ya Kiislamu wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku ufunguzi rasmi ukisubiri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Lee Kuan Yew yafanyika

Mazishi ya mwanzilishi wa taifa la Singapore Lee Kuan Yew yanafanyika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kiziko Mihigo yafanyika

Msanii maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda Kizito Mihigo ambaye aliripotiwa kujiua Jumatatu katika mahabusu ya polisi mjini Kigali nchini Rwanda anazikwa leo.

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa likiwa tayari limewekwa kwenye nyumba yake ya Milele.… ...

 

9 years ago

Michuzi

Ibada maalum ya kumuombea Dkt. Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London

 Askofu Mkuu wa kanisa la CCBC Dr Sarpong (kushoto) kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jijini London usiku wa kuamkia leo. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani wakati wa ibada hiyo jijini London.Wanakwaya wa kanisa la CCBC wakiimba kwenye Ibada hiyo jijini London Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani