Ibada ya kuombea uchaguzi yafanyika mkoani Iringa
Viongozi wa Juu wa Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Amina Masenza wameshiriki Ibada maalum ya kuombea Taifa amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Ibada hiyo maalum imefanyika Jumamosi hii mjini Iringa katika Kanisa Kuu la Sloam njia ya Kusini na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wa Kanisa hilo.
Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa walinyanyua bendera na ramani ya Taifa wakati wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Simu TV: Mahujaji wa Tanzania wafanya Ibada kuombea amani Tanzania wakati na baada ya uchaguzi mkuu
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi
CHADEMA YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA MKOANI IRINGA


10 years ago
Vijimambo
JUMLA YA WATU 526,006 MKOANI IRINGA KUPIGAKURA UCHAGUZI MKUU

11 years ago
Michuzi
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA MKOANI IRINGA LEO


11 years ago
Michuzi12 Mar
11 years ago
Michuzi07 Mar
11 years ago
GPL
IBADA YA MAZISHI YA MUIMBAJI DEBORAH SAID YAFANYIKA
Kundi la waimbaji likiungana kuimba wimbo wa kumuaga marehemu Deborah Said. Marehemu Deborah John Said enzi za uhai wake.…
11 years ago
Michuzi
MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Philip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za Makao makuu ya chama hicho,huku akiwaonesha picha iliyotumika kwenye moja ya gazeti la kila siku hapa nchini,kwamba baadhi ya Wapinzani wamekuwa wakitumia vibaya nafasi za kutafuta uongozi kwa kuwadhalilisha watoto kupitia umaskini wao walionao ikiwemo...


11 years ago
GPLIBADA YA KUMUAGA MWANZILISHI WA TGNP, FIDES CHALE YAFANYIKA
Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidelis Siwangu Chale likiwa katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar.
Jeneza likishushwa kutoka kwenye gari ili kuingia kanisani.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania