Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfahamu Angel Benard - Muimbaji wa gospel ya kisasa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Msanii Benard Paulo na muziki wa R&B

Bongo Flava sio staili moja ya muziki, ila ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa na vijana

 

11 years ago

GPL

FRANCIS BENARD; MIAKA 29 KITANDANI MUHIMBILI, HANA NDUGU!

ALIPOPANDA basi kutoka Tanga kuelekea Dar es Salaam mwezi fulani mwaka 1984, hakujua kama ilikuwa ni siku yake ya mwisho kuwa mzima, mwenye mwili mkakamavu uliokamilika viungo vyote. Akiwaacha nyuma mkewe, Veneranda Makamba na watoto wake wawili, Bashangi (aliyekuwa na umri wa miaka 12) na James (10), Francis Benard aliyekuwa na umri wa miaka 46 wakati huo, uzima wake ulikomea maeneo ya Mto Wami, ambako alipata ajali iliyomlaza...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Benard Membe aitetea Misri maji ya Mto Nile

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ameendelea kuweka msimamo kuwa Tanzania itaendelea kuitetea Misri kuhusu matumizi ya maji ya Mto Nile.

 

9 years ago

Vijimambo

Benard Membe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kuanguka Mbio za Urais- CCM


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kilichotokea mjini Dodoma na kusababisha ashindwe katika uteuzi wa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Membe amekuwa kada wa tatu kueleza hadharani jinsi uteuzi huo ulivyoendeshwa ambao Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, aliibuka kidedea kati ya makada 42 waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa.Makada wengine waliojitokeza hadharani kuelezea mchakato huo ni...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh...

 

11 years ago

GPL

IBADA YA MAZISHI YA MUIMBAJI DEBORAH SAID YAFANYIKA

Kundi la waimbaji likiungana kuimba wimbo wa kumuaga marehemu Deborah Said. Marehemu Deborah John Said enzi za uhai wake.…

 

10 years ago

Bongo5

Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia

Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza. Msanii huyo aliyewahi kufanya vyema na wimbo wake ‘Fikiria’ alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananchi mjini Dodoma. Mez B aliyezaliwa kwa jina la Moses Bushagama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia. Hivi karibuni aliongea na E-News […]

 

10 years ago

GPL

PAM D: WIMBO UNAJULIKANA KULIKO MIMI MUIMBAJI

Na Hans Mloli
UKIWATAJA chipukizi wanaofanya vizuri zaidi kwa sasa kwenye Bongo Fleva basi jina la Mwanadada, Pamella Daffa a.k.a Pam D huwezi kuliweka pembeni kutokana na wimbo wake wa Nimempata.

Wimbo huo ni wa kwanza kwake kufanya vizuri na kumweka vema kwenye ramani, umetengenezwa na prodyuza Mesen Selekta ambaye pia amemshirikisha kutoka Studio za D Fatality Music na umemuweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua tuzo...

 

9 years ago

Bongo5

Wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ umeandikwa na muimbaji wa ‘Mchumba’ H.Mbizo

Shaa uhindi

Aliyeandika wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ uliotoka wiki hii, ni msanii wa muda mrefu aitwaye H.Mbizo.

Shaa uhindi

H.Mbizo ni msanii aliyewahi kufanya vizuri miaka ya nyuma na wimbo wake uitwao ‘Mchumba’.

Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa Mbizo aliuandika wimbo wote miaka miwili iliyopita na kutayarishwa na producer wa Nigeria aitwaye Big H.

Ameongeza kuwa wengine waliohusika na utayarishaji wa wimbo huo ni producer Shirko pamoja na shemeji Master Jay.

Katika hatua nyingine Shaa kupitia gazeti la Mtanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani