Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Wyre atoa video ya wimbo alio-sample ‘Monie’ ya Kanda Bongo Man

Muimbaji wa Dancehall, Wyre a.k.a The Love Child kutoka Kenya ametoa video ya wimbo aliosample kutoka kwenye hit song ya mkongwe wa Soukous, Kanda Bongo Man wa ‘Monie’. Mwaka jana mwishoni Wyre alisema kuwa Kanda Bongo Man alimpa haki zote za kusample wimbo huo (Ingia hapa) ambao ameuchanganya na vionjo vya dancehall.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

VIDEO: Kanda Bongo Man dances a new dance

Kanda Bongo Man has left the "kwassa kwassa" behind and is taking his new dance moves on tour. He spoke to the BBC's Sophie Ikenye.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Adele atoa wimbo mpya baada ya ‘Hello’ – When We Were Young

Adele new

Wakati bado hit single yake ‘Hello’ inaendelea kufanya vizuri na kuvunja rekodi, na zikiwa zimebaki siku nne kabla album ya tatu ya Adele iitwayo ‘25’ itoke, muimbaji huyo wa Uingereza ametambulisha wimbo mpya ‘When We Were Young’ wakati wa mahojiano aliyofanya na 60 Minutes Australia. ‘25’ inatarajiwa kutoka Almahisi hii November 20.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Wyre — Kingston Girl

‘Kingston Girl’ ni single ya kwanza kutoka kwenye album mpya ya msanii wa dancehall, Wyre the Love Child kutoka Kenya iitwayo LION. Video imefanywa na Young Wallace Productions huku mdundo ukiwa ni Country Bus Riddim ya Chimney Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Wyre Ft. Khaligraph Jones – Hotter

Screen-Shot-2015-12-12-at-11.39.14-AM

This is Wyre’s 2nd single off the LION Album. He combines forces with one of Kenya’s finest HipHop artists, Khaligraph Jones. Once again Dancehall meets HipHop in this chune! Audio produced by Mwax the Herbalist and Video by Picha Moja Films.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo

Muimbaji nyota wa nchini Canada mwenye asili ya India, Raghav Mathur ameachia wimbo ‘Until the Sun Comes Up’ aliowashirikisha muigizaji wa Hollywood, Abhishek Bachchan na rapper wa Marekani Nelly kama sehemu ya mradi wa kuleta umeme wa jua nchini Tanzania. Kutokana na mradi huo kupitia taasisi ya SolarAid, Raghav alisambaza taa 300 zinazotumia umeme wa […]

 

10 years ago

Mwananchi

KANDA BONGO MAN: Mkali aliyeitikisa Afrika kwa mtindo wa Kwasakwasa

Kwa wafuatiliaji wa muziki wa miaka ya 80 Kanda Bongoman litakuwa si jina geni masikioni mwao.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina

Rapper anayeiwakilisha Afrika Mashariki, Octoppizo kutoka Kenya ameachia rasmi video ya wimbo wake uliovuja mwaka jana “This Could Be Us”, ambao amemshirikisha mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, August Alsina. Habari mbaya kwa mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona August Alsina katika video hii ni kuwa, kwa bahati mbaya mtaisikia sauti yake tu kwasababu hajaonekana katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kionjo cha video ya wimbo mpya ya Quick Rocka ‘Queen’ iliyoongozwa na Khalfani na Raqey

Quick Rocka amefanya video mpya na muongozaji aliyefanya video yake iliyopita, Khalfani na safari hii wameongeza nguvu ya director mwingine wa I-View studios Raqey. Katika akaunti yake ya Instagram Quick ameshare kionjo cha video hiyo ya wimbo wake mpya uitwao ‘Queen’ na kuandika “#NewVideoAlert#NewSongAlert….Mbeya City yo boy is coming.#Oct17#Queen# @director_khalfani & @raqey_allaraqya on this one.” […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani