Tanzania kufaidika na umeme jua kutoka Canada
![](http://4.bp.blogspot.com/-jAlUW1R_Bzg/U89hG2faIKI/AAAAAAAF5B8/gRg-bJvsGho/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kushoto), ukiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme jua cha Canadian Solar katika jimbo la Ontario nchini Canada.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Canadian Solar, Brian Lu (wa tano kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge, Nishati na Madini, Mhe.Victor Mwambalaswa(Mb.) (wa tatu kushoto), Mhe.Shafin Sumar (Mb.), (wa pili kulia), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tatu kulia),...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Aug
Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo
10 years ago
MichuziVIJIJI 10 VYANUFAIKA NA UMEME JUA KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Zahanati kufungiwa umeme wa jua
ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...
9 years ago
Michuzi13 Nov
TAARIFA YA UJIO WA AFISA KUTOKA UBALOZI TANZANIA CANADA, VANCOUVER, BC, KWA AJILI YA KUPROCESS PASSPORT RENEWALS
UJIO HUU UTAGHARAMIWA NA WATANZANIA WATAKAOHITAJI KURENEW PASSPORT ZAO, GHARAMA HIZI NI FLIGHT NA HOTELI. KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA PHILIP MWIMANZI KUPITIA NAMBA YA SIMU 16046521864. NI VIZURI TUKAWASILIANA ASAP ILI TUJUE...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10
JUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
HUAWEI kuwekeza umeme jua Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza mradi wa umeme unaotumia jua Visiwani Zanzibar kwa...
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Ndege ya kwanza inayotumia umeme jua
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Mabilionea wapya watatoka sekta ya umeme wa jua
9 years ago
MichuziMkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5