Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVIJIJI 10 VYANUFAIKA NA UMEME JUA KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7enhtaMuXeQ/VgZu8WXRT9I/AAAAAAABV-E/h8MJBZaQieE/s72-c/4.jpg)
MKUU WA MKOA WA MOROROGORO - M-POWER PUNGUZENI BEI YA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME
![](http://4.bp.blogspot.com/-7enhtaMuXeQ/VgZu8WXRT9I/AAAAAAABV-E/h8MJBZaQieE/s640/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VqWDsw0H8Wk/VgZu8KGTwGI/AAAAAAABV-A/2rSo4CCIiIY/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9GfkWKz4FxY/VgZu6Tg8aLI/AAAAAAABV94/gAqy4zr5J3A/s640/1.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Tuichangamkie nishati ya jua kutupa maendeleo
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Zahanati kufungiwa umeme wa jua
ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
Wananchi kata ya Kisaki kunufaika na nishati ya Jotoardhi
Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania.
Na Lilian Lundo – Maelezo
Wananchi kata ya Kisaki, wilaya ya Morogoro Vijijini kunufaika na nishati ya jotoardhi inayotokana na chanzo cha maji ya moto yaliyoko katika kata hiyo.
Akiongea na kamati ya maendeleo ya kata ya Kisaki leo, Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania aliiambia kamati hiyo kuwa, Kisaki ni mojawapo ya Kata ambazo zitanufaika na nishati ya umeme...
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Ndege ya kwanza inayotumia umeme jua
10 years ago
Habarileo13 Mar
Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10
JUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.