Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA MOROROGORO - M-POWER PUNGUZENI BEI YA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dkt.Rajabu Rutengwe akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya M-POWER mara baada ya kuwasili kwenye ufunguzi wa ofisi wa kampuni hiyo katika kata ya kihonda magorofani mkoani hapa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.Rajabu Rutengwe akikata utepe wa kufungua ofisi ya kampuni ya M-POWER inayohusika na kusambaza umeme wa jua hapa  nchini,kulia ni Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo Raphael Robert.
 Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni ya M-POWER Tanzania,Raphael Robert...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umeme bei juu, huduma zilezile

Serikali hivi karibuni ilitangaza kupandisha bei ya umeme baada ya mapendekezo yake kukubaliwa na Mamlaka ya Nishati na Maji (Ewura).

 

9 years ago

Michuzi

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU- VIWANDA VIPYA 50 KUNUFAINIKA NA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME WA GESI ASILIA

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Mgalu akizungumza jambo kuhusiana na mikakati ya serikali ya awamu ya tano ya kuweka mipango ya kuunganisha nishati ya umeme wa gesi asilia katika viwanda vipya 50 wakati wa ziara ya Kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini ambayo ilifanya ziara yake ya kikazi ya kutembelea baadhi ya viwanda vilivyopo katika Wilaya ya Mkuaranga.(Picha na Victor Masangu)Baadhi ya wabunge wanaounda kamati ya nishati na madini wakati wanaingia...

 

11 years ago

Habarileo

'Wafanyabiashara punguzeni bei za vyakula'

WAFANYABIASHARA visiwani hapa wametakiwa kupunguza bei ya vyakula kutoa nafasi kwa wananchi kutekeleza vizuri mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni moja ya ibada muhimu kwa Waislamu.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Taneesco.Mkazi wa kijiji cha Ihale kilichopo wilayani Busega mkoani Simiyu...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi (Kushoto) akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Felchesmi Mramba wakati wa Halfa ya kupokea mitambo miwili ya kuzalisha umeme yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 183 itakayokwenda kufungwa Kinyerezi ambapo mitambo hiyo itaanza kufanya kazi mwezi wa kumi mwaka huu.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yasusa chai ya Mkuu wa Mkoa wa SIngida

DSC04356

Mshauri wa kampuni ya kufua umeme wa upepo Geo Wind, Machwa Kagoswe, akitoa ufafanuzi juu ya kazi ya ufuaji umeme wa upepo katika eneo la kijiji cha Kisasida manispaa ya Singida mbele ya kamati ya Bunge ya Nishati na madini iliyotembelea mkoa wa Singida hivi karibuni.Mwenye miwani ni mwenyekiti wa kamati hiyo Richard Ndassa.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAMPUNI ya ubia ya Geo Wind Power Tanzania ltd,inatarajia kutumia zaidi ya dola ya Marekani 136 milioni kwa ajili ya kugharamia uzalishaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Vunja Bei yamkabidhi Mkuu wa Mkoa Arusha zawadi ya Dinner Set na jiko la Gesi

unnamed (3)

Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh.Felix Ntibenda jana kwa kumpongeza kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ambapo pia aliwapatia watumishi zawadi ya chupa ya chai na vikombe vya chai kwa kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii shughuli hiyo ilifanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa huku promosheni hiyo ikiwavutia wakazi wa jiji la Arusha.

unnamed (4)

Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani