Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneJUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIJIJI 10 VYANUFAIKA NA UMEME JUA KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Baadhi ya watalaam kutoka Kampuni ya Elektro Merl ya nchini Austria ambao walileta na kufunga makontena ya umeme wa jua pamoja na mfumo wa usambazaji umeme kwa vijiji 10 vilivyo mbali na gridi ya taifa, pamoja na baadhi ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini, wakikagua moja ya makontena ya umeme wa jua katika Kijiji cha Lobilo, wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma hivi karibuni.
Baadhi ya nyumba za wananchi katika Vijiji vya Lobilo na Silale, wilayani Kongwa, mkoa wa Dodoma,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zahanati kufungiwa umeme wa jua

ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...

 

10 years ago

Dewji Blog

HUAWEI kuwekeza umeme jua Zanzibar

444

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza mradi wa umeme unaotumia jua Visiwani Zanzibar kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kwanza inayotumia umeme jua

Jaribio la kwanza la ndege inayotumia umeme jua limefanyika leo baada ya ndege hiyo kufanikiwa kuanza kuruka asubuhi ya leo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabilionea wapya watatoka sekta ya umeme wa jua

Takriban mika sita iliyopita tajiri anayeongoza duniani, Bill Gates aliulizwa swali na wanafunzi wa chuo kimoja nchini Marekani.

 

9 years ago

Michuzi

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kufaidika na umeme jua kutoka Canada

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kushoto), ukiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme jua cha Canadian Solar katika jimbo la Ontario nchini Canada.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Canadian Solar, Brian Lu (wa tano kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge, Nishati na Madini, Mhe.Victor Mwambalaswa(Mb.) (wa tatu kushoto), Mhe.Shafin Sumar (Mb.), (wa pili kulia), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tatu kulia),...

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua

Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Lutengano MwakahesyaTANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani