Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua
TANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
Rex Energy kupeleka umeme jua kwa kaya milioni moja na laki tano nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS). Katikati ni Paul Kiwele Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini,Mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam.
Na Mwandishi Wetu
Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini amezindua usambazaji wa Teknolojia ya Umeme...
10 years ago
Michuzi.jpg)
REX ENERGY KUPELEKA UMEME JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI
10 years ago
GPLKAMPUNI YA OFF GRID ELETRIC KUFUNGA UMEME WA SOLA NYUMBA MILIONI MOJA NCHINI
9 years ago
StarTV03 Dec
Zaidi ya nyumba 300 zakatiwa umeme Kinondoni
Shirika la Umeme Tanesco mkoa wa Kinondoni Kaskazini umezikatia umeme nyumba zaidi ya mia tatu zilizobainika kuhujumu miundombinu kwa kujiungia umeme kinyume cha sheria ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote.
Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wananchi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao..
Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no; 63...
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Zaidi ya watu milioni moja wameathirika duniani
9 years ago
Bongo509 Nov
Kanye West hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kila siku kunyoa nywele

Kanye West anadai kutumia $500 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni moja kunyoa nywele.
Kwa mwaka hiyo inaaminisha kuwa hutumia zaidi ya $180,000.
Taarifa hizo zilisemwa na baba yake Rihanna kwenye mahojiano na jarida la Heat, Ronald Fenty, aliyesafiri na Kanye na mwanae kwenye ziara yao mwaka 2010.
“It’s crazy – he pays his barber $500 a time,” alisema. “I don’t understand how that much hair gets taken off. Kanye just loves the fresh look.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
11 years ago
Dewji Blog26 Jun
Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.
Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni
SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...