Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014
Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zimekuwa ni mwiba mchungu kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla unaoacha kilio, walemavu, yatima, wajane na wagane kila kukicha.
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri.
Wimbo huo umerekodiwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi26 Jul
New Song: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue

11 years ago
Dewji Blog25 Jul
New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.
Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...
10 years ago
Michuzi02 Feb
10 years ago
Michuzi14 Feb
BARNABA BOY NA AMINI WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM RADIO BUKOBA, TAYARI KWA KUTOA BURUDANI LEO VALENTINE DAY LINA'S NIGHT CLUB
9 years ago
Bongo509 Nov
Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo

Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.
Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.
“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...
10 years ago
Bongo509 Sep
Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’
9 years ago
Bongo510 Nov
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ft. AKA ‘Don’t Bother’kutambulishwa MTV Base (Nov.10)

Baada ya Nikki Wa Pili wa Weusi kutambulisha wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kaka yake Joh Makini kuwaonesha mashabiki wake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kile alichoenda kufanya Afrika Kusini miezi kadhaa iliyopita.
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘AKA’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo (Nov. 10) saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki) na kituo cha kimataifa cha MTV Base.
‘Don’t Bother’ imetayarishwa na...
11 years ago
Michuzi08 Mar
10 years ago
Jamtz.Com