Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’

Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals campaign’. Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid wameungana na wanamuziki wengine wakubwa wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South Africa), […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Tell Everybody: Video ya ‘The Global Goals Campaign’ waliyoshiriki Diamond, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine imetoka, itazame

Video ya wimbo wa kampeni ya umoja wa mataifa ‘The Global Goals Campaign’ imetoka. Wanamuziki wa Afrika walioshiriki kwenye wimbo huu ni pamoja na Diamond Platnumz (Tanzania), Mafikizolo (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Sauti Sol (Kenya), Toofan (Togo), Becca na Sarkodie (Ghana). Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Yemi Alade kuandika wimbo wa Kiswahili?

f173715336735b1f02bb82ab37f969b5-676x476

Kiswahili ni lugha isiyopingika kwa sasa.

Miaka ya hivi karibuni wasanii wengi kutoka kwenye nchi zisizozungumza Kiswahili wakiwemo Ice Prince, Mafikizolo, KCEE na wengine wamechomeka Kiswahili kwenye ngoma zao.

Huenda hitmaker wa Johnnie, Yemi Alade naye akafuata.

Muimbaji huyo amepost kipande kifupi cha video kwenye Instagram akiimba mashairi ya Kiswahili na kuandika: When you wake up thinking of the swahili @bienaimesol taught you… #forMySwahilispeakingFans Score me over 10.”

Anadai...

 

10 years ago

Bongo5

Music: Diamond Platnumz f/ Yemi Alade — Ukimwona (Live)

Pamoja na kwamba ‘Ukimwona’ haikutoka kama ngoma rasmi ya Diamond, bado kwa wengi ni ngoma kali zaidi kuwahi kuimba na staa huyo. Pengine ndio maana, waandaji wa Coke Studio Africa walichagua Ukimwona utumbuize live akishirikiana na muimbaji wa Nigeria Yemi Alade. Na kwakuwa kipindi hicho kina bendi hatari, wimbo huo umekuwa mzuri zaidi hata ule […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani