New Song: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani,wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9. Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.
Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...
11 years ago
Michuzi27 Feb
Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri.
Wimbo huo umerekodiwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIYgx4ARHXmgq7JPa3FJjpN9vJj7VC1zlZJnL1dYsXtF5AvA1wpmt8-Z*tLGmQQj9GIS5ZHUIiK0mHbLZRgabphw/dynaa.jpg)
DAYNA AFUNGUKA SKENDO YA KUTOKA NA MR BLUE!
11 years ago
Michuzi16 Jul
10 years ago
Vijimambo20 Jul
New Song From Blue Sky Studio
![image](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/mmaZIQ1n_JwEddCSyMhDwFmTZAoC25VfkXv27LB6kX_56_qc1mSv1BUAJ5lezySrUwVRcslCKVYCqtrkVES7Ym0MS5FkKteA=s0-d-e1-ft#http://www.zipakue.com/images/audiothumbs/26-1.png)
Best RegardsRay
Thanks for your support
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Lx0adE2e0ks/Vadk4PSU5QI/AAAAAAAHqCE/W1pWkFkg2gc/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
DO IT - Song by Rossie eM featuring Joh Makini dropping out soon!
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lx0adE2e0ks/Vadk4PSU5QI/AAAAAAAHqCE/W1pWkFkg2gc/s640/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
#NewSongAlert#supportgoodmusicCc @rossiempangala_ @johmakini
10 years ago
GPLTAHADHARI: KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI, DEREVA KUWA MAKINI, EPUSHA MAISHA YA ABIRIA
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Brand New Song: Country Boy Ft. Blue Mchaka Mchaka
![](http://4.bp.blogspot.com/-0YW-XoYKOcA/U9DSBuMCcqI/AAAAAAAAFWE/3wB5P6wpE4A/s1600/Cb.jpg)
unaweza kuiskiliza kwakubonyeza play
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)
Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa sasahivi… rapper huyo amesema kuna majina makubwa ya wanaotaka collabo ila hawezi kuyataja japo kwenye majina hayo yupo Davido pia kutoka Nigeria. Nahreel aliwahi kuzungumzia […]
The post Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio) appeared first on...