DAYNA AFUNGUKA SKENDO YA KUTOKA NA MR BLUE!
![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIYgx4ARHXmgq7JPa3FJjpN9vJj7VC1zlZJnL1dYsXtF5AvA1wpmt8-Z*tLGmQQj9GIS5ZHUIiK0mHbLZRgabphw/dynaa.jpg)
HUYU ANATAKA KUJUA Dayna wewe ni mwenyeji wa wapi? Nakukubali sana katika fani kwa kukusikia, sijawahi kukuona, natamani sana nikuone. Selemani Alifa, Dar, 0718803204 DAYNA: Nimezaliwa Mwanza ila nimekulia Dodoma. Kuhusu kuniona karibu sana kwenye shoo zangu ndiyo njia rahisi ya kuniona. Mbongo Fleva, Dayna Nyange MICHEPUKO Kila kizuri kinahitaji pongezi, kiukweli wewe ni mzuri na una mvuto, hivi unaepuka vipi vishawishi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi26 Jul
New Song: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
![IMG-20140725-WA0006](http://kariakootz.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140725-WA0006-225x300.jpg)
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.
Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIshrjJvL5keUnXRcCk1IXgKCjuQjAx7V3UmVK-2wbYSyn68CrrgIkWwMgS0osKketPgzWZnVi-9Rqir-1ZHIFIG/BabyMadahaa.jpg?width=650)
MADAHA AFUNGUKA SKENDO YA KUJIUZA, KUTOKUWA NA PA’ KUISHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdKNmcz5tMzq7Q0xPgBKy44EshdSS6cHCaGZomlssYnUNMSL0hqwZaoU92qXvGQzpfBBcgOw9hrBGzG2Wu12*yf/linah.jpg?width=450)
LINAH NA SKENDO YA KUTOKA NA KIGOGO
10 years ago
Bongo504 Feb
Beyonce na Jay Z kuhamia L.A kutoka New York, wamwandikisha Blue Ivy kwenye shule ya milioni 25 kwa mwaka
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Dayna Sifugi madansa