Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dayna Sifugi madansa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Mwanaisha Nyange maarufu kama Dayna amesema anamiliki madansa wawili tu kwa kuwa ana uwezo wa kuwahudumia katika kila hitaji lao la lazima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MADANSA WA DIAMOND WAKAMATWA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' (wa pili kutoka kushoto), akiwa na madansa wake pamoja na Nay wa Mitego wakitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar. Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul… ...

 

11 years ago

GPL

RAIS WA MADANSA ATINGA GLOBAL

Rais wa madansa nchini ambaye pia ni kiongozi wa madansa wa bendi ya Extra Bongo, Hassan Mussa 'Super Nyamwela' akiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen' (kulia) wakati wa mahojiano na Global TV Online. ...Pamela na Nyamwela Wakiwa…

 

10 years ago

GPL

USIKU WA WAFALME DAR LIVE: DIAMOND KUTAMBULISHA MADANSA WAPYA

Stori: Andrew Carlos
ZIKIWA zimebaki siku tano kamili kuwaka kwa moto wa burudani ndani ya Dar Live, Desemba 25, mwaka huu, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuwa siku hiyo atawatambulisha rasmi madansa wake wapya. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza katika mahojiano na Global TV Online...

 

10 years ago

GPL

DAYNA ANASWA KIMAHABA!

Imelda Mtema PICHA za staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ akiwa katika pozi la kimahaba zimenaswa.
Picha hizo zinazomuonesha akiwa katika ‘mabusu ya kiutuzima’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Baada ya kunaswa kwa picha hizo, Amani lilimvutia waya Dayna ambapo alijitetea kuwa...

 

11 years ago

Bongo5

New Music Video: Dayna — I DO

Malkia wa Morogoro Dayna Nyange ameachia video ya single yake mpya ‘I DO’. Katika video hiyo amemshirikisha aliyekuwa mshiriki wa Big Brother, Nando. Video imetayarishwa na Kwetu Studio na audio ambayo ilianza kutoka wiki kadhaa zilizopita imetengenezwa na Tris wa Conga Music. Itazame.

 

10 years ago

Mtanzania

Dayna: Hakuna mpinzani wa Kanumba

Kanumba (61)_595NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dyana Nyange ‘Dayna’, amesema hadi sasa hakuna mwigizaji wa filamu ambaye ameweza kufikia kiwango cha marehemu Steven Kanumba.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Dayna alisema tangu kufariki kwa Kanumba, tasnia ya filamu imebadilika na kuwa ya kawaida sana.
“Hakuna aliyeweza kufikia kiwango cha Kanumba, licha ya wengi wao kujituma na kujitahidi kufanya kazi na wasanii kutoka nje ya nchi,” alisema Dayna.
Mwanadada huyo aliendelea kusema ni...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo Movies

Dayna: Hakuna mpinzani wa Kanumba

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dyana Nyange ‘Dayna’, amesema hadi sasa hakuna mwigizaji wa filamu ambaye ameweza kufikia kiwango cha marehemu Steven Kanumba.

Akizungumza na Gazeti la Mtanzania, Dayna alisema tangu kufariki kwa Kanumba, tasnia ya filamu imebadilika na kuwa ya kawaida sana.

“Hakuna aliyeweza kufikia kiwango cha Kanumba, licha ya wengi wao kujituma na kujitahidi kufanya kazi na wasanii kutoka nje ya nchi,” alisema Dayna.

Mwanadada huyo aliendelea kusema ni vizuri...

 

11 years ago

GPL

DAYNA: SITAKI MALUMBANO NA DIAMOND

Na Gladness Mallya
MWANADADA anayetamba na kibao cha Mimi na Wewe, Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’ amefunguka kuwa hataki kabisa kumzungumzia msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’. Dayna aliyasema hayo hivi karibuni alipoulizwa kuhusiana na bifu lake na Diamond lililotokana na kumwibia wimbo wake ambapo alisema hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani