USIKU WA WAFALME DAR LIVE: DIAMOND KUTAMBULISHA MADANSA WAPYA
![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbR7iWUh2AVqXhQrhdvLf0bnZQttPOgTtb*5NoFb9HYoHorVJ1YRfJu2siwDODkYagzyeCmmIlhk58v2EWDTnY-/dd.jpg?width=650)
Stori: Andrew Carlos ZIKIWA zimebaki siku tano kamili kuwaka kwa moto wa burudani ndani ya Dar Live, Desemba 25, mwaka huu, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuwa siku hiyo atawatambulisha rasmi madansa wake wapya. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza katika mahojiano na Global TV Online...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7oxPj1gJLkaa*zZMLEMbw0c52ZcfAFRWHHxEZHXXzUAoESoxoeTNR-1v6uVb32nXicEqXnW6L1s09Z-eZZEhMdwsBtwk2rR/Diamond.jpg)
USIKU WA WAFALME DAR LIVE DIAMOND: NILISHAGANDISHWA NIGERIA SAA 8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7IHWgfWFNSIFFXZM0D5cbHBbLAKkrLUTtSmHWlT-wJK3KByVdp6xiSwL*khOuKSYJxZtHN-ZMam-dvRYOS5LRc/diamond2.jpg?width=650)
DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU
10 years ago
GPLBELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/q9F7huxYHU0/default.jpg)
BELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE! JUNI 6 MWAKA HUU
![](http://api.ning.com/files/U4nVIpmxyNMf4K7dhGvPw0aUU68tLjcYGCwgfGBPVc71WIWVJUjNNY-bMNiZg1lpBPw4qsPp8pjTtnJRxgY8Qv68E-2zrRKt/IMG20150522WA0006.jpg)
MFALME wa Masauti asiye na mpinzani Bongo, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuutambulisha Usiku wa Nashindwa, Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live...
10 years ago
GPL28 Dec
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Twanga kutambulisha wapya Idd Mosi Dar
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imepanga kutambulisha rasmi wanenguaji wapya watatu waliotokea Extra Bongo na Malaika siku ya onyesho lake la Idd Mosi katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni,...