USIKU WA WAFALME DAR LIVE DIAMOND: NILISHAGANDISHWA NIGERIA SAA 8
![](http://api.ning.com:80/files/-7oxPj1gJLkaa*zZMLEMbw0c52ZcfAFRWHHxEZHXXzUAoESoxoeTNR-1v6uVb32nXicEqXnW6L1s09Z-eZZEhMdwsBtwk2rR/Diamond.jpg)
DAR ES SALAAM, Tanzania BAADA ya kuchukua tuzo tatu kwa mpigo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards (Choamva), staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka ya moyoni na kusema kuwa alipokuwa nchini Nigeria alishawahi kugandishwa kwa saa 8 kisa kufanya kolabo. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Diamond aliyasema hayo alipokuwa na mazungumzo na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbR7iWUh2AVqXhQrhdvLf0bnZQttPOgTtb*5NoFb9HYoHorVJ1YRfJu2siwDODkYagzyeCmmIlhk58v2EWDTnY-/dd.jpg?width=650)
USIKU WA WAFALME DAR LIVE: DIAMOND KUTAMBULISHA MADANSA WAPYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7IHWgfWFNSIFFXZM0D5cbHBbLAKkrLUTtSmHWlT-wJK3KByVdp6xiSwL*khOuKSYJxZtHN-ZMam-dvRYOS5LRc/diamond2.jpg?width=650)
DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU
10 years ago
GPL28 Dec
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s72-c/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s1600/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond afunika usiku wa Funga Mwaka Concert Dar Live
Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live.
10 years ago
GPL26 Dec