Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE! JUNI 6 MWAKA HUU

Mfalme wa Masauti Bongo, Christian Bella ‘Obama’ akiwa ndani ya Global TV Online.Christian Bella akiimba wimbo wake mpya wa 'Nashindwa' ndani ya studio za Global TV Online leo.Malaika Band chini ya uongozi wa Christian Bella katika moja ya shoo yao, Dar Live patakuwa hapatoshi Jumamosi hii. Mfalme wa Masauti akiimba.
MFALME wa Masauti asiye na mpinzani Bongo, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuutambulisha Usiku wa Nashindwa, Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!

Mfalume wa Masauti Bongo, Christian Bella ‘Obama’ akiwa ndani ya Global TV. Christian Bella akiimba wimbo wake mpya wa 'Nashindwa'. Malaika bendi chini ya uongozi wa Christian Bella katika moja ya shoo yao, Dar Live patakuwa hapatoshi jumamosi hii.…

 

10 years ago

GPL

USIKU WA WAFALME DAR LIVE: DIAMOND KUTAMBULISHA MADANSA WAPYA

Stori: Andrew Carlos
ZIKIWA zimebaki siku tano kamili kuwaka kwa moto wa burudani ndani ya Dar Live, Desemba 25, mwaka huu, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuwa siku hiyo atawatambulisha rasmi madansa wake wapya. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza katika mahojiano na Global TV Online...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

BELLA AITIKISA DAR LIVE USIKU WA NANI KAMA MAMA

Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

USIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE BELLA KUWEKA HISTORIA LEO

DAR ES SALAAM,  Tanzania
YAMETIMIA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani, hatimaye leo, Desemba 6, mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’, anatarajiwa kuweka historia mpya katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’. Meneja wa Bella, Amiri Marusu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani