Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAYNA: SITAKI MALUMBANO NA DIAMOND

Na Gladness Mallya
MWANADADA anayetamba na kibao cha Mimi na Wewe, Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’ amefunguka kuwa hataki kabisa kumzungumzia msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’. Dayna aliyasema hayo hivi karibuni alipoulizwa kuhusiana na bifu lake na Diamond lililotokana na kumwibia wimbo wake ambapo alisema hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND

WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo hata kama anafanya vizuri kimataifa. Nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’. Akifunguka na Risasi Vibes, Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la...

 

9 years ago

Bongo5

Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba

Mdogo wake na Alikiba, Abdul Kiba amesema muziki wake unaathiriwa na malumbano yasiyoisha kati ya mashabiki wa Kiba na Diamond. Abdul Kiba aliyewahi kutamba na wimbo Kidela aliomshirikisha kaka yake huyo, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa kinachorushwa na Clouds TV kuwa mashabiki wa wasanii hao wamekuwa wakimshambulia yeye bila sababu yoyote. “Zimeathiri kwa sababu muziki […]

 

11 years ago

GPL

PENNY: SITAKI KUMSIKIA DIAMOND

Stori: Gladness Mallya
ZILIPENDWA wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’,  amefunguka kuwa hataki kumsikia mpenzi wake huyo wa zamani kwa madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa uhusiano na mtu ambaye hata hivyo hakuwa tayari kumweka wazi. Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’. Penny alisema hayo hivi karibuni jijini Dar wakati akizungumza na...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond: Sitaki kabisa kushika simu ya Zari naogopa kuumia!

Diamonnd n Zari-phone

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Zari ni watu ambao huwa hawapendi
kupekuliana simu simu zao ili kuepukana na matatizo yanayoweza kusababishwa na simu za mikononi.

zari na dai

Simu za mikononi huwa ni moja ya chanzo cha ugomvi kwa wapenzi wengi, na tumekuwa tukisikia story za couple nyingi kuingia kwenye matatizo kutokana tu na mmoja kukuta ujumbe au picha zenye utata kwenye simu ya mwenzie hata kama haimaanishi kuwa anamsaliti.

Diamond na Zari wote ni watu maarufu ambao wana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Malumbano ya EALA hayana mashiko

WIKI iliyopita ulijitokeza mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na kukwamisha shughuli za Bunge hilo baada ya baadhi ya wabunge kugoma, wakitaka kwanza Mbunge kutoka Tanzania, Shyrose...

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Warioba: Malumbano kura ya maoni hayafai

Jaji Mstaafu Joseph Warioba.WAZIRI Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba amevitaka vyama vya siasa kuzingatia matakwa ya wananchi katika suala zima la Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa na badala ya kuwagawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Malumbano haya Mchakato wa Katiba hayatusaidii

Zikiwa zimebaki siku chache kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukabidhi rasimu ya pili ya katiba hiyo ambayo itakwenda kujadiliwa na Bunge la Katiba, baadhi ya wakongwe wanaendelea kutoa maoni yao kuhusu mchakato huo.

 

9 years ago

Habarileo

Malumbano ya kisheria yatawala kesi ya Mwale

MALUMBANO ya kisheria yameibuka jana baina ya mawakili upande wa Serikali na utetezi katika kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili washtakiwa wanne akiwemo wakili maarufu wa jijini Arusha, Median Mwale hali iliyosababisha Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha kuendesha kesi ndani ya kesi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani