Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malumbano ya kisheria yatawala kesi ya Mwale

MALUMBANO ya kisheria yameibuka jana baina ya mawakili upande wa Serikali na utetezi katika kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili washtakiwa wanne akiwemo wakili maarufu wa jijini Arusha, Median Mwale hali iliyosababisha Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha kuendesha kesi ndani ya kesi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakili kesi ya Mwale waja juu

MAWAKILI wa utetezi kwenye shauri la utakatishaji fedha linalowakabili washitakiwa wanne akiwemo wakili maarufu, jijini hapa, Median Mwale, wameibua hoja juu ya uhalali wa kutumika kwa sheria ya kuzuia utakatishaji...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya Mwale yaanza kunguruma Arusha

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha juzi, ilianza kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha, kula njama na kugushi inayomkabili wakili maarufu nchini, Medium Mwale na wenzake watatu.

 

11 years ago

Habarileo

Wakili: Kesi ya Mwale ilifunguliwa kimakosa

UPANDE wa utetezi kwenye kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu ya kutakatisha fedha haramu, umedai mashitaka hayo dhidi ya washitakiwa, yalifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashitaki kutungwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya Wakili Mwale yahamia Mahakama Kuu

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu.

Hatua hiyo ilikuja jana baada ya upande wa Jamhuri unaowakilishwa na Wakili Oswald Tibabyakomya, kudai kuwa umekamilisha upelelezi wa kesi hiyo.

Watuhumiwa wengine katika shauri hilo ni Don Bosco Gichana, Boniface Mwimbwa na Elias Ndejembi.

Mbele ya Hakimu Mfawidhi Mkazi wa Mahakama ya Hakimu...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yakata rufaa kesi ya wakili Mwale

 MAWAKILI wa serikali wamekata rufaa Mahakama ya Rufaa baada ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya wakili maarufu Median Mwale na wenzake watatu, kukataa baadhi ya vielelezo vya ushahidi kutoka nchini Marekani ikiwamo hati saba za viapo.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Msengi Kusikiliza kesi ya Wakili Mwale

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

KESI ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha mbele ya Jaji Fatuma Masengi.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mwishoni mwa wiki baada ya Jamhuri kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Oswald Tibabyekomya, kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali ya mashtaka 42 yanayowakabili.
Tibabyekomya alidai washtakiwa wote walikubali majina yao kuwa Median Mwale, Don...

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

11 years ago

GPL

DAYNA: SITAKI MALUMBANO NA DIAMOND

Na Gladness Mallya
MWANADADA anayetamba na kibao cha Mimi na Wewe, Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’ amefunguka kuwa hataki kabisa kumzungumzia msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’. Dayna aliyasema hayo hivi karibuni alipoulizwa kuhusiana na bifu lake na Diamond lililotokana na kumwibia wimbo wake ambapo alisema hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Malumbano ya EALA hayana mashiko

WIKI iliyopita ulijitokeza mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na kukwamisha shughuli za Bunge hilo baada ya baadhi ya wabunge kugoma, wakitaka kwanza Mbunge kutoka Tanzania, Shyrose...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani