Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND

WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo hata kama anafanya vizuri kimataifa. Nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’. Akifunguka na Risasi Vibes, Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sina mpango wa kuigiza

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Meninah Atick amesema hawezi kuingia katika sanaa ya filamu kwa sababu yoyote kwani hana kipaji cha kuigiza. Meninah ambaye pia ni mwandishi wa habari aliyebobea katika utangazaji amesema haoni kama anaweza kujikita kwenye uigizaji kwa siku za karibuni.

 

11 years ago

GPL

DAYNA: SITAKI MALUMBANO NA DIAMOND

Na Gladness Mallya
MWANADADA anayetamba na kibao cha Mimi na Wewe, Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’ amefunguka kuwa hataki kabisa kumzungumzia msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’. Dayna aliyasema hayo hivi karibuni alipoulizwa kuhusiana na bifu lake na Diamond lililotokana na kumwibia wimbo wake ambapo alisema hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Sina mpango wa kushindwa

lowassaNA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Sina mpango wa urais

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ndikilo: Sina mpango wa jimbo


NA BLANDINA ARISTIDES MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema hana ndoto ya kugombea ubunge katika jimbo la Nyamagana kama inavyodaiwa.
Mhandisi Ndikilo alitoa kauli hiyo jana, baada ya mbunge wa jimbo hilo, Ezekia Wenje, kudai kuwa mkuu huyo wa mkoa anataka kugombea jimbo hilo.
Wenje alitoa tuhuma hizo mwishoni mwa wiki, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Tambuka Reli, jijini hapa.
Katika mkutano huo, Wenje alitumia muda mwingi kutoa...

 

11 years ago

GPL

RAY: SINA MPANGO WA KUMUOA CHUCHU

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
Makubwa! Kaka mkubwa kunako gemu la filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka kuwa hana mpango wa kumuoa mwanadada Chuchu Hans kama inavyodaiwa na baadhi ya watu. Vincent Kigosi ‘Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi. Akijibu swali aliloulizwa na wanahabari wetu hivi karibuni, kuhusiana na kudaiwa kuwa baada ya mpenzi wake huyo kupewa talaka ana...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa

WEMA732

Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti

WEMA341

“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Salim: Sina mpango na urais 2015

>Waziri Mkuu mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hana mpango na hafikirii tena kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani